Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi.

2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema.

3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda uchezaji wake wa nyuma).

4. Kibu Denis ni msaada mkubwa mno kwa Simba, anashambulia na kukaba.

5. Kumtoa Mohamed Hussein kuliifanya Simba icheze defensive game badala ya offensive, Fadlu asingeepuka lawama kama Singida wangepata goli maana ile sub iliwakaribisha Singida langoni kwa Simba.

6. Metacha Mnata ni moja kati ya magolikipa bora wazawa, sielewi kwanini Yanga walimuacha.

7. Mechi ya leo imedefine Simba inataka nini msimu huu, kuna uwezekano Simba ikatwaa ubingwa wa NBC.

Simba nguvu moja.
Metacha Mnata ni 🚮🚮
 
Sasa Na wewe Mbona Unaharibu Wino kwa kuandika komenti ya Kutochukua Ubingwa kwa Simba Au ukinyamaza Watabeba kweli?
Najua Awana timu ya kutwaa Ubingwa Wala nafasi ya pili.
Mimi Raha yangu wakiwa Wana nung'unika hasa kutishia kuhamia Burundi😄
 
Wewe hoja zako zote ni mfu,,kayoko ndie aliyekwambia Camara atoe assist? Kayoko kapuliza mechi ngapi yanga anapocheza na Simba mbona mmekanyagwa bila ya uyo kayoko mechi zote 3 ambazo akupuliza? Wakiahidiwa ni mpaka wakufate nyumbani kwako wakwambie Leo tumehaidiwa?
Alafu usijadili watu walioko klabu bingwa dhidi ya walioko kikombe cha kushirikishwa ni mbingu na ardhi ndio maana unashiriki wewe uliyeshika nafasi ya tatu usijizime data!
Kumbe liti ni uwanja mbovu na Dodoma ni uwanja mzuri sio? Kwenye uwanja mzuri kmc ulimfunga Jkt goli ngapi? Hoja zako ni mufilisi ujui ata unachokiongea zaidi ya ushabiki mandazi!
Wewe ni kilaza ndio maana hujui kubishana kwa hoja, ukibanwa kidogo unakimbilia sijui 5-1,siye tumeshakukanda 5-0 na haujawahi kulipa, acha zile 6-0,goli nne nne ndio nimekupiga mara nyingi tu, ukija kimataifa sie ndio ma master, ukibisha kaangalie ranks za CAF, siye huwa tukishiriki hatuleti aibu ya kuburuza mkia kwenye kundi kwa point 1 kwenye mechi 3,utopolo ndio mnashikilia rekodi ya timu iliyofungwa magoli mengi klabu bingwa hatua ya makundi, milifungwa goli 19 mwaka 1998,hakuna timu iliyofungwa magoli mengi kuliko utopolo tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo mwaka 1964/65.Sisi tumeshawahi kuongoza kundi lenye Al Ahly na AS Vita, kwa hiyo kimataifa usijilinganishe na sisi kabisa.
 
Ni Tanzania pekee timu inaongoza Ligi uku marefa wanao chezesha mechi zake wakitoka na aibu na kudhallika kwa upendeleo.
Maguvu yote ayo mnayotumia si mngewekeza kwenye usajili wa wachezaji wazuri!!
Sasa marefa wanadhalilika na Ubingwa hamchukui si inakua kazi Bure.😄😄
U ingawa tunachukua na hamtufanyi lolote kenge wafupi....
 
Wewe ni kilaza ndio maana hujui kubishana kwa hoja, ukibanwa kidogo unakimbilia sijui 5-1,siye tumeshakukanda 5-0 na haujawahi kulipa, acha zile 6-0,goli nne nne ndio nimekupiga mara nyingi tu, ukija kimataifa sie ndio ma master, ukibisha kaangalie ranks za CAF, siye huwa tukishiriki hatuleti aibu ya kuburuza mkia kwenye kundi kwa point 1 kwenye mechi 3,utopolo ndio mnashikilia rekodi ya timu iliyofungwa magoli mengi klabu bingwa hatua ya makundi, milifungwa goli 19 mwaka 1998,hakuna timu iliyofungwa magoli mengi kuliko utopolo tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo mwaka 1964/65.Sisi tumeshawahi kuongoza kundi lenye Al Ahly na AS Vita, kwa hiyo kimataifa usijilinganishe na sisi kabisa.
Vilaza ujui walipo, we mwenyewe ni amnazo unarukaruka tu ubishi mwingi for nothing,,umesema kayoko alitubeba nimekuuliza mechi zote mlizofungwa mfululizo kayoko ndio alikuwa refa? Mbona unajichanganya mwenyewe ueleweki shida nini?
Unatuletea historia hapa sasa iyo historia imekusaidia nini kucheza shirikisho? Au ilikusaidia nini kushika nafasi ya tatu msimu uliopita?
 
Wewe ni kilaza, historia unaleta wewe kwa kukumbushia 5-1 wakati zaidi ya nusu ya wachezaji waliofungwa sasa hawapo, kikosi hiki ni kipya cha msimu huu, ni bora ndio maana kinaongoza ligi ukibanwa kidogo unakumbushia mechi za nyuma, ndio maana nimekupa nami historia yani nakunywesha dawa uliyoutengeneza mwenyewe.
 
Hawa jamaa wanavyocheza kwa kutegemea marefa na ushindi wao wa goli Moja Moja natamani sana mechi yao na yanga ifike ata wao na Azam utakuja kuona makosa yao vizuri,,hizo mechi kwa uchezaji wao huu awatotoboa kwa maana wanafanya pressing kukabia juu wakati huo awako vizuri kwenye defence line yao,,angalia nafasi 2 alizopata Rupia akashindwa kuzitumia ilitokana na wao kujaa juu na kuacha nafasi eneo lao la ulinzi,,pia angalia aina ya magori yao,,wamefunga magori 5 kwenye mechi tofauti ndani ya kipindi cha kwanza na kipindi cha pili wanakuwa pumzi imekata,,sasa uwezi kucheza na yanga kwa au Azam ya sasa kwa dizaini iyo maana awatokupa nafasi kuanzia dk ya kwanza mpaka sekunde ya mwisho na yale magori ya papatu papatu utoweza kupata hizo nafasi!
Azam ipi hiyo? Hii hii niliyoifumua 2 bila?

Yanga hii hii ambayo ndani ya dk 90 ilishindwa kufunga goli hata la offside?
 
Goli chache ni ngapi imefungwa, akili zenu zimefungiwa kwenye mfuko, mashabiki mandazi kama nyie ni janga la taifa, ebu Rudi ukacheki aina ya magoli yenu mnavyoyapata na ufanye study ndogo tu ya eneo lako la back line linavyocheza ndio urudi hapa nijadili na wewe vinginevyo akuna unachokijua zaidi ya mihemko tu!
Hiyo backline ulishindwa kuifunga hata goli la offside.

Hapa tanzania hakuna timu yoyote ile inayoweza kuifungua backline ya simba kama simba inaamua kupaki basi.

Kimataifa magoli ma3 tuliyofungwa ni makosa ya mabeki na sio uwezo wa timu pinzani kuifungua backline ya simba.
 
Hawa jamaa wanavyocheza kwa kutegemea marefa na ushindi wao wa goli Moja Moja natamani sana mechi yao na yanga ifike ata wao na Azam utakuja kuona makosa yao vizuri,,hizo mechi kwa uchezaji wao huu awatotoboa kwa maana wanafanya pressing kukabia juu wakati huo awako vizuri kwenye defence line yao,,angalia nafasi 2 alizopata Rupia akashindwa kuzitumia ilitokana na wao kujaa juu na kuacha nafasi eneo lao la ulinzi,,pia angalia aina ya magori yao,,wamefunga magori 5 kwenye mechi tofauti ndani ya kipindi cha kwanza na kipindi cha pili wanakuwa pumzi imekata,,sasa uwezi kucheza na yanga kwa au Azam ya sasa kwa dizaini iyo maana awatokupa nafasi kuanzia dk ya kwanza mpaka sekunde ya mwisho na yale magori ya papatu papatu utoweza kupata hizo nafasi!
Kwani yanga na azam hazijacheza na simba round ya kwanza ama kweli vipigo vya tabora vimekuchanganya!
 
Mie mbona nachangia tayari nalipoa azam tv nae da kicheki game uwanjani sasa mchango gani tena
Kwa hiyo Unaendaga na tv uwanjani ? Kama unalipia Azam tv si unamchangia Bakhresa na wanae,Kama unaenda Uwanjani Si unaenda kumchangia Timu Mwenyeji? Tff wanahusikaje?
 
1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi.

2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema.

3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda uchezaji wake wa nyuma).

4. Kibu Denis ni msaada mkubwa mno kwa Simba, anashambulia na kukaba.

5. Kumtoa Mohamed Hussein kuliifanya Simba icheze defensive game badala ya offensive, Fadlu asingeepuka lawama kama Singida wangepata goli maana ile sub iliwakaribisha Singida langoni kwa Simba.

6. Metacha Mnata ni moja kati ya magolikipa bora wazawa, sielewi kwanini Yanga walimuacha.

7. Mechi ya leo imedefine Simba inataka nini msimu huu, kuna uwezekano Simba ikatwaa ubingwa wa NBC.

Simba nguvu moja.
Wewe ni kiazi kweli, yani umechambua mpira umeshindwa kugusia maamuzi dhahiri mabovu ya refa?
 
Kwa hiyo Unaendaga na tv uwanjani ? Kama unalipia Azam tv si unamchangia Bakhresa na wanae,Kama unaenda Uwanjani Si unaenda kumchangia Timu Mwenyeji? Tff wanahusikaje?
Habari za asubuhi backbencher mwezangu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Azam ipi hiyo? Hii hii niliyoifumua 2 bila?

Yanga hii hii ambayo ndani ya dk 90 ilishindwa kufunga goli hata la offside?
Kwaiyo timu yako kwa sasa ishakuwa na ubora sio,, Azam uliifunga kwa magoli ya aina Gani,,kaifunge Tena sasa hivi tuone kama unao ubavu,,
 
Kwani yanga na azam hazijacheza na simba round ya kwanza ama kweli vipigo vya tabora vimekuchanganya!
Yanga alipocheza na Simba ilikuwaje round ya kwanza tupe matokeo, na Azam ulimfunga magoli ya aina Gani, kama unayo timu kamfunge Tena Azam round ya pili kama unao ubavu, kwa yanga ata siongei kwakuwa jibu unalo!
 
Wewe ni kilaza, historia unaleta wewe kwa kukumbushia 5-1 wakati zaidi ya nusu ya wachezaji waliofungwa sasa hawapo, kikosi hiki ni kipya cha msimu huu, ni bora ndio maana kinaongoza ligi ukibanwa kidogo unakumbushia mechi za nyuma, ndio maana nimekupa nami historia yani nakunywesha dawa uliyoutengeneza mwenyewe.
Kwaiyo mechi ya mwisho ulifungwa 5-1? Timu iliyogongwa msimu huu si hii hii mpya au Kuna nyingine unayo mfukoni mwako? Timu yako bado sana kuufikia ubora wa yanga usijifiche kwenye kichaka cha kuongoza ligi kwa maana ata singida alishaongoza ligi na Azam na majibu utayapata kama unayo timu kweli ama laah baada ya kukutana na yanga na azam kwakuwa ubishi ni jadi yako na ni kawaida ya waha wa kigoma!
 
Back
Top Bottom