Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?