Maalim Seif: Kikwete ndio adui wa Wazanzibar

ubaya ni pale unapotamka mbele ya hadhara kuwa hatutafanya hivi, harafu wewe ndio wa kwanza kuja kulalamika kuwa mtu fulani ndio kafuta matokeo. Kueleza kuwa kikwete ndio kafuta matokeo ni Uzushi na kutapatapa kwa Maalim seif. Wakitumia lile Gazeti lao '''R.I.P MAWIO'' walisema kuwa Balozi Seif ally Idd ndio kikwazo cha muafaka kwa kuwa hayupo tayari kuwa chini ya Maalim Seif na likaja na Habari nyingine isemayo Seif kutangazwa kuwa Rais muda wowote... Sasa hii ya kikwete imetoka wap?
Hujui kitubwewe unajua mambo kijuu juu tu .wakati jecha anafuta matokeo .amiri jeshi mkuu alikua kikwete .na inasemekana pale hotel ya bwawani dola ilifanya mambo
 
Naweza kusema kua maalim seif ni mmoja kati ya watu wabinafsi kuwahi kutokea katika historia ya Taifa hili, haiwezekani mtu ukagombea zaidi ya awamu tatu za urai zote ukashindwa halafu bado ushindwe tena hivi karibuni na kuendelea kungangania kua wewe uwe rais?? hiki ni kiwango cha juu kabisa cha ubinafsi katika taifa hili shame.
Hajawahibkushindwa mara zote anashinda na mara hii ameshinsa mbele ya mashahidi nenda kanye mavi hujui kitu
 
Mimi nawaomba wale wazee waliopelekwa kupiga kura kwa vigari vyavwagojwa huko pemba na unguja wamshitakie m.mungu kwa kilavaliewanyima wazanzibari haki yao munguvawahukumu hapa hapa duniani .
 
Hujui kitubwewe unajua mambo kijuu juu tu .wakati jecha anafuta matokeo .amiri jeshi mkuu alikua kikwete .na inasemekana pale hotel ya bwawani dola ilifanya mambo
kwa Akili yako ndogo wakati mawio likichapisha ile habari ya maalim kutangazwa muda wowote Jecha alikuwa bado Hajafuta Uchaguzi? Kama alikuwa ameufuta lile gazeti la upande wa pili lilitoa wapi habari zile? Wakati mwingine usikubali kuvua nguo Mbele ya wakwe zako. Maalim kasema hata shiriki uchaguzi sasa kwanini yeye awe anahangaika huku na Huko kwa kitu ambacho hakitaki na Amekisusa?

Kulalamika kwa kitu ambacho hukihitaji ni kuonyesha uelewa mdogo katika kupambanua kile anachokisimamia na Kukiamini.

Lakini kwa Hili analolisimamia Maalim na uamuzi Aliyochukua kuhusu uchaguzi mkuu, Hapa naliona Anguko Na kufutika kwa Chama Cha Wananchi... Mungu Epusha Hilo
 
Chama cha cuf hakiko kwenye kadi za uanachama .kiko kwenye nyoyo za watoto vijana na wazee wa kizanzibaei na watanzania .mada ya hapo iliyoletwa si suala la kushiriki uchaguzi ni maalim anaelezea kuhusu kikwete utafeli shule nenda kwenye uzi unasemaje
 
Hilo li jamaa unalolieleza ni wale ccm jengo anakaa palevlumumba kwenye bench wakija viongozicanawaomba hela .ni kana wale wanachama wa simba jengo na yanga jengo
 
Mchambuzi ni jina lako ama na maana ya kuchambua? nani amekimbia? Mbona mnaandika upuuzi bila hata kuona aibu? mimi si mshabiki wa CCM wala CDM maana sioni tofauti kati yao lakini nachukia watu kuandika uongo na upuuzi katika jukwaa ambalo walilolianzisha waliliweka kwa nia nzuri ili tupashane na kufundishana badala ya kuandika minong'ono na majungu.
Mbona povu linakutoka? ? Ndiyo kakimbia na akamuomba mugabe awatukane wazungu eti ccm itawale daima
 
Hizo kasumba hazisaidii. Kujaribu kuleta fitina .Labda wewe ni mgeni wa sias za Zanzibar na Ulimwengu. Nchi za Magharibu wanaifahamu znz kama nchi yenye wakomunisti na wajamaa walobaki kama korea ya Kim. USA wanakumbuka siku ya mapinduzi walipo henyeshwa ubalozi wao znz ukawa uko chini ya ulinzi mpaka kwenye mapaa ...na makomredi kuwataka waondoke ndani ya masaa 24.
USA huwa hawasahau wanajua wajamaa hawa wasiojua haki za watu na democrasia ndio walio ngoa mitambo yao ya kuongozea vyombo vya anga kina Appolo 1.
wanajua ndio wao hawa walotaifisha mali za wamerekani bila ya fidia baada ya mapinduzi
wanajua hawa ndio walo zibadilisha majina shule kubwa mpya ambazo zilijengwa na marekani kama msaada kwa znz. Moja ni shule ya Ufundi ikabadilishwa jina kuwa Karume technical college utafikiri kajenga yeye.
wakaibadilisha shule kubwa zaidi pemba ya Wawi Kuwa Fidel castro adui wao mkuu marekani ..shule imejengwa na marekani na wajamaa wakiabadilisha jina kuwa castro. Wamarekani waliomba kama ni jina liwe jengine lakini sio castro lakini wajamaa na makomunisti wa ccm walikataa.
pia makomo nisti hawa wa ccm wakaichukua hospital kubwa znz ilojengwa kwa msaada wa Karemjee na nchi za magharibi na kuipa again jina la adui wao na dictator mkubwa duniani baada ya hitler Ikawa V.I Lenin hospital.

hawa wanafahamu kuwa Seif ndie chachu ya mabadiliko znz na Tanganyika kuondoka katika sera ya ujamaa mbovu kuja kwenye soko huria. Ni Seif ndie alimshawishi Mwinyi akiwa znz kufungua milangi ya biashara na kuachana na ujamaa njaa. wazo lile ndio alokuja nalo mwinyi Tanzania bara na kuipindua siasa ya kijamaa.

hivyo ndugu yangu hawa wanajua wazi kuwa Maalim sio alshaaba wala nani ..wanamjua huyu ni kamanda mzuri wa siasa za uvhumi huria na kwake kumiliki mali kwa raia kihalali sio tatizo..wanajua huyu hakuna mambo ya bomoa bomoa .wanajua wana deal na pertner kqatika maendelo...hizo porojo zako peleka kivukoni chuo kuwafanya watu kuwa yes man
Mkuu umenena sawa kabisa tv alikuwa nayo marehemu shk. Yahya huseni tu mpaka alipokuja mwiyi kutoka zanzibar ndio tv zikaanza kuenea
 
Mchambuzi ni jina lako ama na maana ya kuchambua? nani amekimbia? Mbona mnaandika upuuzi bila hata kuona aibu? mimi si mshabiki wa CCM wala CDM maana sioni tofauti kati yao lakini nachukia watu kuandika uongo na upuuzi katika jukwaa ambalo walilolianzisha waliliweka kwa nia nzuri ili tupashane na kufundishana badala ya kuandika minong'ono na majungu.
povu ehh+
viazi
 
Katika hali ya kawaida,kinachoendelea Zanzibar si tu kinahitaji muafaka wa kukaa pamoja na kujadiliana bali hekima,busara na hofu ya Mungu vinatakiwa vitawale miongoni mwa viongozi na makundi yenye dhamana ya uhai wa wananchi wa Zanzibar;vinginevyo ikitokea damu ikamwagika hata viongozi wa bara watalaumiwa kwani wao ndio wadau wakubwa waliosababishwa mgogoro wa ZANZIBAR!!
 
wamezoea fitina wakachapwe tu mpaka akili ziwarudie, kwao bora wachapwe na mwarabu kuliko na mnyamwezi mweusi
 
Matatizo ya zanzibar yalitoka tanganyika ,yanatoka tanganyika na yataendelea kutoka tanganyika .karibu muungano baibai uhuru wa zanzibar .maneno mengi yalisemwa na kusemwa lakini huo ndio ukweli
 
HIVI CCM NA SERIKALI IMEANZA KULEGEA SIKU HIZ, MNASHNDWA NINI KUMUWEKA KIZUIZIN HUYO MAALIMU, ILI WAZANZIBARI WAKAENDELEA NA MAMBO MENGNE, NARUDIA MFICHEN MAALIMU TUENDELEE NA MAMBO MENGNE NA ITAKUWA FUNZO KWA KINA MBOWE, LOWASSA, NA WENGINE WANAOTUMIA NAFAS ZAO KUWADANGANYA WATANZANIA WALIO WAJINGA,
Hizi sio zama ndio Mzee,kama huamini jikusanye wewe na familia yako mkamchukue mumfiche kama unaona ni rahisi kama uendavyo msalani
 
Matatizo ya zanzibar yalitoka tanganyika ,yanatoka tanganyika na yataendelea kutoka tanganyika .karibu muungano baibai uhuru wa zanzibar .maneno mengi yalisemwa na kusemwa lakini huo ndio ukweli
Ni hiyo tanganyika ambayo inafanya hadi leo jina la zanzibar lipo. Vinginevyo rudia hotuba ya prophet Nyerere. "Nyinyi Wapemba Sisi Waunguja". Ni Uhuru gani mnauhitaji zaidi ya huu unaowawezesha nyie kuishi bara na kufanya chochote mtakacho?
 
Back
Top Bottom