Mkuu, wanao na vizazi vyako bila shaka watakuwapo, wataipeleka nchi pahala ambako wewe ulishindwa na nadhani watafaidi kwa niaba yako. Ni kweli tunatamani tufanye mambo mazuri zaidi ili tuishi kwa neema lakini lazima tukubali kuna muda lazima ufike hata kama kwa wakati huu tumeshindwa kwa bahati mbaya ama kwa kukwamishwa na yeyote. Inajulikana pia kwamba haiwezekani kwa vyovyote vile CCM wawepo madarakani milele lakini si lazima watoke 2020 na si lazima watoke wewe ukiwa hai ili upate madaraka ati kwa sababu ndo uliyeanzisha harakati za mageuzi.Huo muda unaousema sisi tunaishi leo na kama jambo halinifai leo kwa kigezoili lichochote basi haina maana yeyote kwangu sababu hatutakuwepo kipindi hicho