Maajabu yatokea Tanga: Sura ya Nyerere na mama Maria Nyerere zaonekana kwenye mwembe

kuna siku niliona wingu lina picha ya paka kabisa na nilipoingia ndani kuchukua camera nikakuta limebadilika tayari. Mara nyingi ni imagination unayotengeneza mwenyenye kichwani
 
Huu mwembe naufahamu sana. Upo karibu na fensi ya karakana la TRL lkn sijawahi kuona hiyo taswira.
 
Tanga mjini kuna kitu kinaendelea Inadaiwa umeibuka mti wa ajabu una sura ya JK Nyerere na Bikira Maria

Kuwa watu wanamiminika Tangamano kujionea
 
Ndo tuseme wale watu wa AMBONI TANGA wamekuja na mbinu mpya ama.
Hahahhahahahahhaaha
 
Ni Mwendokasi wa kuona vitu tu mwaka huu, Ngoja niukaushe mti na majani watu wakafanye kazi
 
Back
Top Bottom