Yummie
JF-Expert Member
- Sep 12, 2015
- 1,363
- 1,079
Hahahahahaha! Kama ni ya Tanesco,anahitaji back-up generator kwakweliSi anawapa mapenzi ya mgao km wa Tanesco....
Hahahahahaha! Kama ni ya Tanesco,anahitaji back-up generator kwakweliSi anawapa mapenzi ya mgao km wa Tanesco....
Umeangalia hizo kopa zinavyotizama chini?
Kuna mdau kanirekebisha hapo juu, kumbe imeandikwahata huu ni mzuri
mambo ya daslaam hayo halafu utendaji 1%Kuna mdau kanirekebisha hapo juu, kumbe imeandikwa
"Panua paja, mkwaju waja"
Mjini kuna mambo sana
Mbona wapo wawezaji !!Mmnh! Atatuweza kweli?!
Teinaaaaaaaaaaaa wakukome kabisa
Ndomana mi nimeamua kurudi sitimbi kiroho safimambo ya daslaam hayo halafu utendaji 1%
HahahahahaTeinaaaaaaaaaaaa wakukome kabisa
Unafanya kuhamisha kotiLeo kwako, kesho kwa Jimena, keshokutwa kwa Chausiku zen kwa Asha kidomodomo....
Ni mwendo wa mgao
Watasubiri sanaaaaaaaaa..... Hapangwi mtu foleniLeo kwako, kesho kwa Jimena, keshokutwa kwa Chausiku zen kwa Asha kidomodomo....
Ni mwendo wa mgao
Kama hivyo,neno hakunaMbona wapo wawezaji !!
Kitu kikipinduliwa kinamaanisha nini? Khanga ina mengi!Zinamaainisha nini?
Sidhani,hawa wa kuhangaika na mayai ya kware na supu ya pweza?Leo kwako, kesho kwa Jimena, keshokutwa kwa Chausiku zen kwa Asha kidomodomo....
Ni mwendo wa mgao
watakuja kukuoa huko wakurudishe dar!!Ndomana mi nimeamua kurudi sitimbi kiroho safi