Kuingia kwa Trump Ikulu ya White house na kuanza KAZI mara moja kama rais aliye na mawazo ya KUPATA FAIDA kumelipa soko la kifedha la NYSE, New York Stock Exchange kupanda sana zaidi ya mtangulizi wake Obama na kufikia Dow Jones 20,000 ambazo hata Obama hakuweza kufikia hapo.
Inasemekana hii nikutokana na MAARIFA ya Trump alipowaita WAFANYA BIASHARA WAKUBWA wa Makampuni.
Akakaa nao kwenye ROUND table na kuwasikiliza huku akiwauliza "MNIPE MAWAZO yenu ni matatizo gani YANAYOWAKABILI?"
Baada ya mkutano wale ma CEOs waliongea na waandishi wa habari wakisema
"Kwa mara ya KWANZA katika historia ya kuitwa Ikulu rais ametuuliza MAWAZO yetu. Tofauti na Obama. Tulikuwaga tukiitwa Ikulu na rais Obama yeye ANGEONGEA tu muda wote pasipo kutupa nafasi na hivyo Tumefurahishwa sana" Mwisho wa kunukuu.
EXECUTIVE orders alizosaini zimewapa IMANI wamarekani kuwa Trump ni Rais ANAYETIMIZA yale aliyoyaahidi wakati wa uchaguzi. Na hiyo imempa KIBALI.
Soko limekuwa na IMANI na uongozi wake. Leo Januari 25 kila mmoja hapo NYSE alikuwa na furaha sana.
Soko na wawekezaji wakiwa na imani katika uchumi na uongozi wa Trump.
HAYO ndo matokeo wakati wafanya bishara na wawekezaji wanakuwa na IMANI ya yale serikali inayafanya.
SOKO la fedha hupanda na thamani ya fedha kupanda!