Kuingia kwa Trump Ikulu ya White house na kuanza KAZI mara moja kama rais aliye na mawazo ya KUPATA FAIDA kumelipa soko la kifedha la NYSE, New York Stock Exchange kupanda sana zaidi ya mtangulizi wake Obama na kufikia dow 20,000 ambazo hata Obama hakuweza kufikia hapo.
Inasemekana hii nikutokana na MAARIFA ya Trump alipowaita WAFANYA BIASHARA WAKUBWA wa Makampuni.
Akakaa nao kwenye ROUND table na kuwasikiliza huku akiwauliza "MNIPE MAWAZO yenu ni matatizo gani YANAYOWAKABILI?"
Baada ya mkutano wale ma CEOs waliongea na waandishi wa habari wakisema
"Kwa mara ya KWANZA katika historia ya kuitwa Ikulu rais ametuuliza MAWAZO yetu. Tofauti na Obama. Tulikuwaga tukiitwa Ikulu na rais Obama yeye ANGEONGEA tu muda wote pasipo kutupa nafasi na hivyo Tumefurahishwa sana" Mwisho wa kunukuu.
EXECUTIVE orders alizosaini zimewapa IMANI wamarekani kuwa Trump ni Rais ANAYETIMIZA yale aliyoyaahidi wakati wa uchaguzi. Na hiyo imempa KIBALI.
Soko limekuwa na IMANI na uongozi wake. Leo Januari 25 kila mmoja hapo NYSE alikuwa na furaha sana.
Soko na wawekezaji wakiwa na imani katika uchumi na uongozi wa Trump.
HAYO ndo matokeo wakati wafanya bishara na wawekezaji wanakuwa na IMANI ya yale serikali inayafanya.
SOKO la fedha hupanda na thamani ya fedha kupanda!
Mkuu haya si maajabu ya Trump. Soko la hisa lilianguka sana wakati wa Bush na kuendelea kuanguka miezi ya mwanzo ya Obama. Baada ya uchumi kuanza kufanya vizuri soko hilo la hisa likaanza kupanda tena hadi kufikia 19,970 siku chache kabla ya Obama kumaliza awamu yake.
Trump hajafanya lolote la kustahili kupewa credit baada ya kuwemo WH kwa siku 5 tu.
CC: kui Mag3
Mkuu haya si maajabu ya Trump. Soko la hisa lilianguka sana wakati wa Bush na kuendelea kuanguka miezi ya mwanzo ya Obama. Baada ya uchumi kuanza kufanya vizuri soko hilo la hisa likaanza kupanda tena hadi kufikia 19,970 siku chache kabla ya Obama kumaliza awamu yake.
Trump hajafanya lolote la kustahili kupewa credit baada ya kuwemo WH kwa siku 5 tu.
CC: kui Mag3
BAK don't forget, we just entered the 'Alternative facts' era.
Hahahahaha lol! Thank you for reminding me about "the alternative facts" AKA Lies. THANK YOU!
BAK don't forget, we just entered the 'Alternative facts' era.
Mkuu, tunaweza kukataa jambo lililo wazi? Hata kama watu wengine hawampendi Trump, hili limefanyika kufikia 20,000 Trump akiwa rais.Mkuu haya si maajabu ya Trump. Soko la hisa lilianguka sana wakati wa Bush na kuendelea kuanguka miezi ya mwanzo ya Obama. Baada ya uchumi kuanza kufanya vizuri soko hilo la hisa likaanza kupanda tena hadi kufikia 19,970 siku chache kabla ya Obama kumaliza awamu yake.
Trump hajafanya lolote la kustahili kupewa credit baada ya kuwemo WH kwa siku 5 tu.
CC: kui Mag3
Mkuu, tunaweza kukataa jambo lililo wazi? Hata kama watu wengine hawampendi Trump, hili limefanyika kufikia 20,000 Trump akiwa rais.
Najua wengi wangependa AFELI ukweli ndo huo lazima tuukubali.
Kuna post namba 8 ya Lussadam ameweka ref ya mail online inayosema The Trump effects: "WH takes Credit for Dow topping 20,000 for the FIRST time"Soma post yangu yangu namba 12. Siku ya mwisho ya urais wa Obama ilikuwa ni January 19 siku hiyo stock market ilifungwa huku ikiwa imefikia 19,804. Tangu January 20th imeongezeka kwa 236 points tu.
Sasa huwezi kusema eti ni maajabu ya Trump kwa ongezeko la less than 1%. Kipindi cha Urais cha Obama kiliisha rasmi January 19th hivyo kama kuna baya na zuri lolote basi wa kupewa credit au kuzodolewa ni Obama na si vinginevyo.
Kuna post namba 8 ya Lussadam ameweka ref ya mail online inayosema The Trump effects: "WH takes Credit for Dow topping 20,000 for the FIRST time"
. Mkuu si maneno yangu mimi.
But I am just echoing what has been said na wataalamu!