Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania


"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
Amewataja ni kina nani hao? Trump kachafua halinya hewa.

Tanzania ni kokolo linazoa Kila kitu.
 
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania


"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
Nilisha sema hapa sana ...si vyama vya upinzani wala ccm walio nizingatia...

Nilionya kuhusu kanuni mbovu naza kimpumbavu za uraia tunazo tumia Tanzania lakini si ccm wala wapinzani wame chukua hili jambo ...nilionya kuwa, kuwa na daraja moja la URAIA HAKUFAI..... NIKASEMA HAPA KUWA NI HATARI SANA KUFANYA HIVYO, TAIFA LITAZAMA KWENYE MIKONO YA RAIA FEKI WENYE AJENDA OVU ...unampaje mkimbizi uraia leo kisha anakuwa na haki hadi yakuwa Rais au waziri au kushika vyeo vya juu majeshini ...mfano 👉 simara moja wala mbili tumesikia wakimbizi na wachezaji mpira wamepewa uraia ....sasa kituko ni kuwa na uraia unao wawezesha kuwa hadi wanasiasa au viongozo wa juu ...

KINACHO TAKIWA TANZANIA NI KUWA NA DARAJA 3 ZA URAIA ZENYE MIPAKA TOFAUTI

...hapa hata hoja ya tuwe na uraia pacha itajibiwa vizuri kabisa kama tukiwa na daraja hizo 3 ...mfano mtanzania aliye chukua uraia pacha ana baki na URAIA WA TANZANIA WA DARAJA LA 2 ambao haki yake itakuwa kupiga kura tu kwenye chaguzi na asiruhusiwe kuwa na cheo cha siasa wala kuwa mgombea wa kiserikali kwenye siasa yaani... udiwani...ubunge uraisi ...uwaziri nk...
Na wale wenye URAIA DARAJA YA 3
wasiruhusiwe hata kuwa wanasiasa wala wafadhiri wa kisiasa wala kuwa na vyeo vya juu vya kiserikali wala kuwa wapiga kura nchini isipokuwa watoto wao watakao wazaa wapewe DARAJA YA 2 ya uraia....

KITU KINGINE KIKUBWA SANA KINACHO PUUZWA NA WAPUMBAVU NANI KITU CHA MUHIMU SANA 👉 ni kosa la kuruhusu wanasiasa kuwa wapigq kura wa chaguzi za kiserikali ....hiki ni kitu kibaya sana kwa taifa lolote..mfano wakenya wanashangaa kwanini wameunda katiba wanayo amini ni nzuri ila mambo yapo vibaya vilevile kwenye nchi yao. SABABU NI KWAMBA KATIBA YA KENYA NI KAMA GARI ZURI LISILO KUWA NA PETROL NA PETROL NI KUZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA KWENYE CHAGUZI ZA KISERIKALI....hata kama utaandika katiba nzuri kiasi gani ila ukaruhusu wanasiasa kuwa wapiga kura basi katiba yote uliyo uliyo iandika inakuwa ni UPUMBAVU MTUPU .....

💥💥WATANZANIA WOTE KATAENI WANASIASA KUWA WAPIGA KURA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI 💥💥 ...

Faida ya kufanya hivi ni nyingi mno na kuu mno kuliko kitu chochote ...kama katiba hii hii mbovu tuliyo nayo tukiweka katazo tu la wanasiasa kuwa wapiga kura basi katiba hii hii mbovu itakuwa ni bora kuliko katiba yoyote barani africa na hata ulaya ...madhara ya wanasiasa kupiga kura kwenye chaguzi za kiserikali yana onekaha hadi marekani .....baadhi ya madhara ni haya hapa
1) uchawa
2)siasa kuwa pango la wapumbavu na watu wenye akili finyu
3)kupata viongozi wa kiserikali wenye akili ndogo
4)kupata viongozi wanaotokana na bidii yao ya umalaya serikali..yaani wanatumia tobo zao mbili za chini au mashine zao kama bwana "egonga".. watu awajui kwanini Egonga alikuwa anatembea hadi na wake wa viongozi wakubwa ile ilikuwa ni mekanizimu kubwa sana ya kumlinda na kumfanya awe mkuu na mwenye nguvu serikali...hata ingeweza kumsaidia kupata Urais kabisa...hatari sana
5) wapiga kura kueshimika na hoja zao kusikilizwa maana wasingekuwa wanasiasa.
6)kunge punguza mauaji kwenye siasa maana wapigakura wasinge kuwa na vyama vya siasa
7) kusinge kuwa na uchafuzi wa pesa za nchi zinazo chezewa kisiasa kama sasa maana vyama vya siasa vingekuwa na wanachama wachache wasiozidi elfu 20000
8)kinge ondoa mfumo wa kokoro kwenye siasa za nchi ambao ndiyo unaosababisha madhara makubwa sana unakuta ndani ya siasa kuna wahalifu wa kila namna kwa sababu siasa imekuwa ni kokoro la kuzoa uchafu wote na mwingi kuliko usafi
9) kunge fanya viongozi kutumikia wananchi wote siyo kutumikia wanachama wao wa vyama vyao tu ...kama sasa mikopo wanapewa wanachama wa ccm tena ya masharti nafuu badala ya mikopo kutolewa kwa wananchi wote kwa haki
10) kinge ondoa kiburi cha vyama tawala kuwa wamechaguliwa na wanachama wao ...hii inafanya chama tawala kujali wanachama wao zaidi ya wananchi wote...
11)kinge ondoa udini na ukabila

Faida ni nyingi sana pamoja na kupunguza siasa kuwa kichaka cha wahalifu yani (even peace ) leo hii wauza madawa ya kulevya wanagombea kadi za ccm ...majambazi hivyo hivyo ...mafisadi ...mitume feki wanafanya utapeli kwa kiburi ya kadi ya ccm ...leo hii kuwa na kadi ya ccm imekuwa kama hirizi ya kufanikiwa kwenye mambo maovu atendayo mtu .

Tunacho takiwa watanzania kukifanya ni mambo matatu makuu yanayo zidi hata hoja ya katiba mpya nayo ni...

1) KUWEKA DARAJA 3 ZA URAIA
2)KUZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI
3)KUWE NA RESENI YA SIASA AMBAYO MTU ATATAKIWA KUILIPIA JAPO SH MIL 2 KILA BAADA YA MIAKA 5.

Kabla ya mtu kujiunga na chama chochote cha siasa ni laziwa awe na hiyo RESENI KWANZA ...hii itapunguza waganga njaa kwenye siasa na kufanya vijana wafanye kazi za kujenga taifa na kusoma badala ya kuwa machawa hadi mavyuoni.
 
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania


"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
 

Attachments

  • IMG-20250201-WA0006.jpg
    IMG-20250201-WA0006.jpg
    56.3 KB · Views: 1
Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.

Nchi yako ni dhaifu sana kama mnaogopa mtu mmoja anaweza kui bring down kwa matamko!

Matamko kuhusu raia, ambayo CDF nae aliyasema.

"Wamshughulikie" ni lugha ya watu primitive.... mataifa ya watu-nyani ndio wanaambiana "wamshughulikie" mwenzao.

Wameteua watu bila competent vetting, bila kujua background zao, hilo sio kosa la Mpina.
 
Sis watanganyika wa asili tunao ona kuna wageni wamepewa madaraka/vyeo serikalini tupambanie katiba mpya na bora ili kuziba mianya ya hao tunaodai wahamiaji waliopewa vyeo vikubwa serikalini wasitupige! Tusikubali kuishia kulalamika tu huku wapigaji wakiendelea kuneemeka. TUDAI KATIBA MPYA KWA NGUVU ZOTE bila kujali itikadi za vyama. Tuwe na document 'very comprehensive' inayo cover kila aina ya ufisadi na udanganyifu hasa wa viongozi wa kiserikali na taasisi zake wanaokabidhiwa majukumu ya kuiongoza nchi.
Ujinga at its best,hicho kinachoitwa Katiba Mpya ndio kitakusaidia nini?
 
Ujinga at its best,hicho kinachoitwa Katiba Mpya ndio kitakusaidia nini?

Faida ya Katiba Mpya

Katiba mpya ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha mfumo wa serikali na kuleta mabadiliko chanya nchini. Hapa chini ni baadhi ya faida zinazotokana na katiba hii:

1. Kuunda Serikali ya Tanganyika na Kuitambua Serikali ya Zanzibar

Katiba mpya inatoa fursa ya kuunda serikali ya Tanganyika na kuitambua rasmi serikali ya Zanzibar. Hii inamaanisha kwamba kila eneo litakuwa na uwezo wa kujitegemea katika masuala yake, huku pia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.

Kuwa na serikali moja ya muungano itasaidia katika kusimamia na kuratibu maendeleo kati ya maeneo haya mawili, hivyo kuwezesha ushirikiano mzuri katika nyanja mbalimbali kama vile uchumi, elimu, na afya.

2. Ukomo wa Ubunge Miaka 10

Kuweka ukomo wa ubunge kwa miaka kumi kutaleta mabadiliko chanya katika uongozi. Hii itawapa nafasi viongozi wapya na wenye mawazo mapya kuingia katika bunge, na hivyo kuimarisha demokrasia.

Viongozi watakuwa na motisha ya kufanya kazi kwa bidii ndani ya muda wao wa ubunge ili kuweza kuleta maendeleo kwa wapiga kura wao. Aidha, ukomo huu utasaidia kupunguza urithi wa madaraka na kuboresha uwajibikaji wa viongozi.

3. Sifa za Kugombea

Katiba mpya inabainisha sifa za kugombea katika ngazi tofauti za uongozi. Kwa mfano, kwa udiwani, mtu anahitaji kuwa na elimu ya kidato cha sita na kuendelea. Hii itawasaidia wale wenye elimu bora na uelewa wa masuala ya jamii kushiriki katika uongozi wa mitaa. Kwa ubunge, sifa ya kuwa na degree ya kwanza na kuendelea itachochea elimu na maarifa miongoni mwa viongozi.

Kwa urais, kuwa na PhD au elimu ya juu zaidi kutahakikisha kuwa viongozi wa nchi wana uelewa wa kina wa masuala ya kitaifa na kimataifa, hivyo kusaidia katika kufanya maamuzi bora.

4. Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kupigiwa Kura

Katiba mpya itatoa haki kwa wananchi kupiga kura ili kuwachagua wakuu wa mikoa na wilaya. Hii ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia na kuwapa wananchi sauti katika uchaguzi wa viongozi wao.

Kwa kuwachagua wakuu wa mikoa na wilaya, wananchi watakuwa na uwezo wa kuhakikisha kuwa viongozi wanaowachagua wanafanya kazi kwa maslahi ya jamii zao. Hii pia itawafanya wakuu hawa kuwa na uwajibikaji mkubwa kwa wananchi, kwani watakuwa wanawajibika moja kwa moja kwa wapiga kura wao.

Hitimisho

Kwa ujumla, katiba mpya inaleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa uongozi na utawala nchini. Kuunda serikali ya Tanganyika na Zanzibar, kuweka ukomo wa ubunge, kubainisha sifa za kugombea, na kuwapa wananchi haki ya kuchagua wakuu wa mikoa na wilaya ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia na uwajibikaji.

Mabadiliko haya yatawezesha nchi kuwa na viongozi bora, wenye maarifa na uelewa, ambao wataweza kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi wote. Ni muhimu kwa wananchi kuwa na ufahamu kuhusu faida hizi ili kulinda na kuunga mkono katiba mpya kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
 
Hao wahamiaji haramu mbona hata Mkuu wa Majeshi alishawahi kulizungumzia ndio hao wanaweka kodi za hovyo hovyo kila kukicha bila hata kuwa na huruma watu wengi wapo Uhamiaji pia sio Watanzania wanawasumbua sana watoto kupata passport huku wageni wakizipata kwa njia ya rushwa kirahisi sana..
Nilipo kua naimba hapa kuusu Raia feki na ajenda yao watu waliniona mpumbavu ni nani hapa JF aliye anza kuongelea swala la raia feki kama mimi hapa jf .....hao raia feki wanao uraia wa Tanzania kabisa ila ni kama gaidi aliye pewa uraia wa marekani ila ajenda yake ni kuiangamiza marekani ..ndiyo hao raia feki tulio nao ajenda yao ni ovu japo ni raia wa Tanzania wenye asili ya kigeni ...kifo cha mtikili kilikuwa na mkono wao hao raia feki ...Rostam azizi na mdogo wake mbunge ndiyo wamoja wapo wa viongozi wakuu wa hiyo ajendq.
 
Na yeye atuthibitishie uraia wake alete vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu yake ndiyo awe na nguvu ya kusema uraia wa wenzake.
 
CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.

Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
We kweli Sa bufa, unapayuka tu ka chai jaba
 
Wanyarwanda wamejaa kibao na wanapenda kuwajaza huko juu yaan wamejazana kibao Tolu anatuchora tu
Wanyarwanda siyo adui wa watanzania wanaweza kuwa adui wa ccm ...raia feki hatari tulio nao wana asili ya kizungu au kiarabu au kihindi...na wengi wao dini wanayo tumia kufanikisha huo uovu ni UISLAMU ndiyo wanao shika serikali na kupakua utajiri wa nchi na kuamishia nchi zao walizo zichagua
 
Wanyarwanda siyo adui wa watanzania wanaweza kuwa adui wa ccm ...raia feki hatari tulio nao wana asili ya kizungu au kiarabu au kihindi...na wengi wao dini wanayo tumia kufsnikisha huo uovu ni UISLAMU ndiyo wanao shika serikali na kupakua utajiri wa nchi na kuamishia nchi zao walizo zichagua
Labda ni kweli
 
Na hasa wanyarwanda na warundi ni wengi sana kuanzia serikalini hadi mitaani lakini sio serikali kwamba hawajui wanajua vizuri sana tena kwa mjina wanasubiria wakiingia kwenye njia zao ndio waanze kuongea ukweli
 
Back
Top Bottom