Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,600
- 3,839
Pengine hawa watu ndio watekaji wa watanzania. Kwani hawana uchungu na sisi.
Warundi ndugu zetu, mbona hata JKN alikuwa mtu wa hukoKuna wanyarwanda na warundi kibao ndani ya Serikali yetu - kuna siku tutalia na kusaga meno.
Makamu wa BurundiNani? Watajeni.
Wanyarwanda wamejaa kibao na wanapenda kuwajaza huko juu yaan wamejazana kibao Tolu anatuchora tuWarundi ndugu zetu, mbona hata JKN alikuwa mtu wa huko
Na ndio lengo lake ila kaongea kiu uzimaAngetumia neno sio Watanhanyika ingekaa vizuri sana
Inashangaza ni kwanini hawatajwi !!Nani? Watajeni.
Kama hawajatajwa ni akina nani bado hii inabaki kuwa ni speculations tu !Mbona hata mkuu wa majeshi alishalisema hili?
Ile Kigoma wengi Sana Sio wa kwetuYule bibi profesa asiyejua kutema yai
What matters is your loyalty and abiding with constitution procedures. FBI director's parents live in India, they are Indians. Yet, their son pleads loyal to American values and citizenship. These Tutsi, abide with Kigali.This is an echo chamber of fear and warmongering, coming at a time when the entire regional security architecture is too delicate. And Mpina is politicking and stocking flames of hate for political expediency.
Tutsis have been living in Tanzania even before the coming of Paul Kagame. Some of them are loyal citizens, some of them are disloyal.
If we follow this chauvinistic rabbit hole of we'll discover a bitter truth that, even Mkapa was born in Mozambique.
M23 ilianza hivi hivi kwa prejudices za namna hii. Mara makamo sio raia na wengi wengineo. Ukiitaka Kigoma kwenye Tanzania ni lazima uwakubali wenyeji wake pamoja na utamaduni wao.... Vinginevyo kinachotokea Goma sasa hivi ambapo M23 ndio "The new sheriff in town" kinaweza kutokea magharibi ya Tanganyika. 😲Ile Kigoma wengi Sana Sio wa kwetu
Umeandika upuuzi.Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Could possible, bado kuna watu na mapenzi yao kwa nchi lakini hawana pa kwenda since bosses wao ndio wako corrupted,Kuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
Naibu waziri mkuu ni MnyarwandaNani? Watajeni.
Sis watanganyika wa asili tunao ona kuna wageni wamepewa madaraka/vyeo serikalini tupambanie katiba mpya na bora ili kuziba mianya ya hao tunaodai wahamiaji waliopewa vyeo vikubwa serikalini wasitupige! Tusikubali kuishia kulalamika tu huku wapigaji wakiendelea kuneemeka. TUDAI KATIBA MPYA KWA NGUVU ZOTE bila kujali itikadi za vyama. Tuwe na document 'very comprehensive' inayo cover kila aina ya ufisadi na udanganyifu hasa wa viongozi wa kiserikali na taasisi zake wanaokabidhiwa majukumu ya kuiongoza nchi.CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.
Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.