ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,627
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini.
Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla.
Hakika huyu mwamba ali utendea kazi iliyo bora muziki hasa katika muziki wa reggae alio onesha ustadi wa hali ya juu sana katika kuuimba.
Huyu mtaalamu aliimba vibao vingi sana vya kuvutia hadhira vilivyo jaa jumbe nzito kwa dunia.
Hivi hapa miongoni mwa vibao vikubwa sana vya mtaalamu lucky dube vilivyo tikisa na vinavyo endelea kutisa bara zima la Afrika na dunia kwa ujumla miaka nenda miaka rudi :-
i, Slave
ii, I've got you babe
iii, Reggae strong
iv, House of exile
v, Fugitive
Vii, Respect
viii, Think about the children
ix, War and crime
X, Born to suffer
xi, Hold on
xii, Victims
xiii, Crazy world
xiv, Don't cry
xv, Different colors, One people
xvi, Remember me
xvii, The way it is
xviii, Back to my roots
xix, Together as one
xx, It's not easy
Hakika huyu mwamba lucky dube ni mfalme wa muziki wa reggae hapa duniani, alifanya kilicho bora katika muziki wa reggae wakati wa uhai wake.
:- Mdau nawe unaweza ongeza vibao vyako vikali unavyo vikubali kutoka kwa huyu mtaalamu wa reggae music karibu.