safarj za dodoma, sijui wapi, maandamano ya hovyo hovyo ya kufanya serikali isifanye kazi yake ameyapiga marufuku kiongozi Lowasa. makamanda viongozi msikilizeni Lowasa ana uzoefu wa siasa kupita wote mliopo to the level of Prime Minister. hakuna wa kumsogelea. zikeni uanaharakati na mjiandae kushika dola hahahah. sijui how long it will take for us opposition to take over government. its indefinite probably. sijui!!!Hivi huyu bwana huwa anaota au vipi? Mbona kuna safari ya kwenda Dodoma au hajui hilo? Na kesi ya kudai posho mahakamani?
kesha sema uanaharakati wa maandamano na kuzuia serikali isifanye kazi yake ni upuuzi! umepitwa na wakati. tujiandae kukamada dola basi. hiyo ndio kazi kubwa ya chama cha siasa.Hivi huyu bwana huwa anaota au vipi? Mbona kuna safari ya kwenda Dodoma au hajui hilo? Na kesi ya kudai posho mahakamani?
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kwa sasa CHADEMA wameachana na siasa za kiharakati na sasa wamegraduate na kuwa chama cha siasa, amesema wana harakati huwa wanagomea mambo, kufanya maandamano na kuzuia serikali isifanye kazi yake, lakini sasa wamekuwa chama cha siasa ambayo vision yake ni kukamata dola
...calls the tune!who pays the piper...............................
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kwa sasa CHADEMA wameachana na siasa za kiharakati na sasa wamegraduate na kuwa chama cha siasa, amesema wana harakati huwa wanagomea mambo, kufanya maandamano na kuzuia serikali isifanye kazi yake, lakini sasa wamekuwa chama cha siasa ambayo vision yake ni kukamata dola
Sema bwana maana ulisha inunua cdm
Hahaha lazima wafuate utakavyo
Lakini sahau kushika dola
Labda ya Monduli[/QUOTE
hahaha,lowassa ni zaidi ya janga,nyumbu wataanza kumsakama sasa hivi,chezea wamachame wewe
Kamwaga ugali mzee wetu