Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasa

Lowasa cheo chake ni aliyekuwa mgombea wa urais kupitia ukawa , tamko tutalolipa maanani ni la wenyekiti Mbowe tu au katibu mkuu wetu....Tunashukuru kwa ushauri wake....mpambano wa ccm unahitaji jino kwa jino na sio ukipigwa shavu la kushoto uwageuzie la kulia
umechelewa jamaa. mawazo haya ungekuwa nayo mwaka jana kabla hatujavamiwa na lile kundi ungekuwa wa maana sana. lakini kwa sasa mawazo yako hayana maana tena. its too late. chama kina mwenyewe sio wenyewe
 
Kwa hili Mh Lowasa utakumbukwa sana,
Maana chadema ilikuwa inapukutika mitaani na kuwa chama cha mitandaoni.

Lakini pia Chadema wameanza kutetea wachawi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi!
Kwa kuwa wewe Lowasa ndio mmiliki wa chadema, ni bora ukawaonya Bavicha waache hiyo tabia ya kutetea maovu, maana inakiua chama.

Wananchi wenye akili wanahoji, hivi chadema ipo kwa ajili ya maslahi ya watanzania au ipo kwa ajili ya maslahi ya majambazi??
 
Wewe unaonekana umechanganyikiwa. Magu chali, ccm hoi; bunge linalodhibitiwa na ccm taabani.

Wewe endelea kukata viuno tu hapo lumumba.
 
Dawa ya nape inaingia pole pole!
Kazi mnayo lumumba.......sio kwa mapokezi yale kule mtama hata bwana yule huko chato hawajawahi kumpokea vile
 
Back
Top Bottom