Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

Bora usipigiwe kura kabisa kuliko utoto uliyo fanyika Jana Dodoma.
 
Ninaimani kubwa sana kuwa Lowasa uchaguz wa 2015 aliwaburuza CCM ndyo maana anawaumiza kichwa. Uchaguzi umeisha isha hta JPM alisema kuwa siasa mpaka 2020 lakini nashangaa Jina la mtukufu Lowasa haliwatoki kinywani. Kwani yeye ni nani? Wananchi tunataka maendeleo kwa sasa hizi bongo movie za et nimeama Chama wakati huu hazina Tija wananchi tunaumia uku maisha yanazidi kuwa magumi nyie bado mnapiga campain. Sasa endeleeni kumpigia kelele lowasa bila kujua mnamuongeza umaarufu na uchaguz wa 2020 mkiendelea hiv atawaburuza vibya mno.
 
Baada ya kupanga kuvua gwanda na kuamua kuvaa kijani sasa naweza kuhoji bila wasiwasi maaana ukiwa ndani ukihoji unaitwa msaliti kama dk mihogo

Iv Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA?? ana cheo gan? Alichaguliwa na nani? Alipigiwa kura na nani? Akapitishwa na nani? Na kuapishwa na nani?

Maana kila vikao vya chama yupo na tena anakaa meza kuu na viongozi wakuu wa chama waliochaguliwa kihalali!! Ananipa wakati mgumu sana.

Siku hizi Mbowe anafata matamko ya Lowasa hata kama hayaendani na itikadi za chama hiki ivi Lowasa ni nani ndani ya chama?

Najua hakuna mwenye jibu na wote mtakuja hapa kunitukana lakini pia mjiulize iv hoja na ushawishi unafanywa kwa matusi na fujo??

Back to CCM
Njaa mbaya sana
 
CHADEMA ni wahuni tu
Hawa wameni disappoint sana kwa kweli!Wkt wana CHADEMA wanakufa Arusha huyu Lowassa alikuwa CCM
Na alishiriki vikao vya kuwaumiza, Mungu awarehemu marehemu wote watatu waliopoteza maisha, kama wangejua aliyeshiriki kuwaumiza ataamia upande wao...... Sijui
 
Na alishiriki vikao vya kuwaumiza, Mungu awarehemu marehemu wote watatu waliopoteza maisha, kama wangejua aliyeshiriki kuwaumiza ataamia upande wao...... Sijui
Mbowe na akina Lema wana dhambi sana!
Vijana wale Arusha waliandamana kupinga ufisadi
Lowassa na wenzake walilipongeza jeshi la Polisi

CHADEMA ASILI tuchukue chama chetu!
 
Baada ya kupanga kuvua gwanda na kuamua kuvaa kijani sasa naweza kuhoji bila wasiwasi maaana ukiwa ndani ukihoji unaitwa msaliti kama dk mihogo

Iv Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA?? ana cheo gan? Alichaguliwa na nani? Alipigiwa kura na nani? Akapitishwa na nani? Na kuapishwa na nani?

Maana kila vikao vya chama yupo na tena anakaa meza kuu na viongozi wakuu wa chama waliochaguliwa kihalali!! Ananipa wakati mgumu sana.

Siku hizi Mbowe anafata matamko ya Lowasa hata kama hayaendani na itikadi za chama hiki ivi Lowasa ni nani ndani ya chama?

Najua hakuna mwenye jibu na wote mtakuja hapa kunitukana lakini pia mjiulize iv hoja na ushawishi unafanywa kwa matusi na fujo??

Back to CCM
Kupoteza Hisia kwa mkeo kunakusababishia haya yote, hutuliiii!!!!
 
Mbowe na akina Lema wana dhambi sana!
Vijana wale Arusha waliandamana kupinga ufisadi
Lowassa na wenzake walilipongeza jeshi la Polisi

CHADEMA ASILI tuchukue chama chetu!
Kabisa mkuu, natamani siku Dr slaa anarudi tumpokee airport port na huo uwe mwanzo wa kudai muda wetu, rasilmali zetu, nguvu zetu, hatuwezi kuporwa chama chetu pendwa tulichopigania na waroho wa pesa
 
Imarisheni CCM yenu , irawale milele tuone kama hayo maendeleo yatakuwepo. Maana swala la Lowassa linawanyima usingizi usiku huu wote.

Lakini pia ujue mkt ananafasi zake za uteuzi . Anayo hiyari kama ilivyo huko CCM kumteua mwanachama yeyote kuwa mjumbe wa halmashauri kuu so hatuoni baya na kosa lolote
Wewe kuwezeshwa kuwepo tu mtandaoni ni maendeleo.

Kumbuka hilo.
 
Wewe kuwezeshwa kuwepo tu mtandaoni ni maendeleo.

Kumbuka hilo.
DC saa ngapi upo ofisini huku tuachie sisi tunaoungua na jua. D C ukishinda mitandaoni wilaya utakuwa doro!

Hata mkifanya hila WaTz wa leo si wale wa jana. Zaidi ya nusu yao wanakichukia chama chako
 
Atawaumiza Sana Lowassa mwaka huu!!!! Hana neno mzee wa Mungu nyie semeni tu ila Silence is the best answer kwa Wapumbavu
 
Back
Top Bottom