Lowassa alipigiwa lini kura ndani ya CHADEMA?

Kama Waziri Mkuu wa Zamani na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema ndani ya Ukawa.

Ni kikao gani cha CCM kikimpitisha Tulia Mwansansu kukaa mbele ya Meza Kuu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Cha Majipu (CCM)?
Siwezi kujibu swali hilo kwa kuwa mimi si mwana CCN
 
Lowassa ni mmiliki wa Chama
Tafuta pesa na wewe ununue TLP. Hujasikia jana mzee wa Kiraracha akisema alifanya biashara na JPM. Hata wewe ukifika dau anakukabidhi chama mara moja. Lowasa kama.kanunua CHADEMA msimuonee wivu, kanunueni vya kwenu, TLP iko sokoni.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Kama Waziri Mkuu wa Zamani na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema ndani ya Ukawa.

Ni kikao gani cha CCM kikimpitisha Tulia Mwansansu kukaa mbele ya Meza Kuu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Cha Majipu (CCM)?
Yule ni naibu spika...sasa lowassa ana cheo gani kinachompa ukuu wa kukaa meza kuu?
Hata uwaziri mkuu alijiuzulu kwa kashfa na sio kustaafu.

Ayatollah al luwassa
 
Mtasema tuuu midomo imewaka wazi kubadili ya Chadema jadilini ya ccm inayo wahusuuu Nyie mlimnunua slaaa Kwa bei gani na lipumba
 
Mmeenda Dodoma kuchagua? Au kukabidhiana, tangu lini MTU akapata kura zote isiwepo hata moja ya kuharibika?
Ndio maana JK alisema huu ni ushindi wa kihistoria. Idadi ya kura ilishapatikana hata kabla ya kupigwa, wajumbe walikuwa 2398 na hizo ndizo kura za JPM. Sasa wewe ulitaka ziharibike akose ushindi wa kihistoria?(ingawa alikuwa hashindani na mtu yeyote....)
 
Yule ni naibu spika...sasa lowassa ana cheo gani kinachompa ukuu wa kukaa meza kuu?
Hata uwaziri mkuu alijiuzulu kwa kashfa na sio kustaafu.

Ayatollah al luwassa
Unauliza Lowassa ana cheo gani wakati mnasema kainunua CDM? Swali la kijinga kama jina lako. Kwa maelezo yenu CDM ni mali yake, iweje leo uhoji mahali anapokaa? Atakaa mahali popote atakapoona panamfaa.
 
Imarisheni CCM yenu , irawale milele tuone kama hayo maendeleo yatakuwepo. Maana swala la Lowassa linawanyima usingizi usiku huu wote.

Lakini pia ujue mkt ananafasi zake za uteuzi . Anayo hiyari kama ilivyo huko CCM kumteua mwanachama yeyote kuwa mjumbe wa halmashauri kuu so hatuoni baya na kosa lolote
Tusaidie kuelewa, hivi Anakaa high table, meza ya viongozi kama nani?
 
Imarisheni CCM yenu , irawale milele tuone kama hayo maendeleo yatakuwepo. Maana swala la Lowassa linawanyima usingizi usiku huu wote.

Lakini pia ujue mkt ananafasi zake za uteuzi . Anayo hiyari kama ilivyo huko CCM kumteua mwanachama yeyote kuwa mjumbe wa halmashauri kuu so hatuoni baya na kosa lolote
Mjumbe wa kk anaka meza kuu? Jibu hoja
 
watz watu was ovyo sana, lowassa ana kura mil 6, niambie ktk historian ya tz nani aliwahi kupata kura mil 6 wa chama pinzani.
Hatuongelei kura hapa jibu hoja yeye ni nan ndan ya chama? Acha kuzungusha mikono
 
Yule ni naibu spika...sasa lowassa ana cheo gani kinachompa ukuu wa kukaa meza kuu?
Hata uwaziri mkuu alijiuzulu kwa kashfa na sio kustaafu.

Ayatollah al luwassa
Halaf wap kwenye katiba ya Chadema pameandikwa wazir mkuu akae meza kuu? Mbona Sumaye hakai
 
Unauliza Lowassa ana cheo gani wakati mnasema kainunua CDM? Swali la kijinga kama jina lako. Kwa maelezo yenu CDM ni mali yake, iweje leo uhoji mahali anapokaa? Atakaa mahali popote atakapoona panamfaa.
Kwahiyo mnakubali chama chenu kimeuzwa?
 
Unauliza Lowassa ana cheo gani wakati mnasema kainunua CDM? Swali la kijinga kama jina lako. Kwa maelezo yenu CDM ni mali yake, iweje leo uhoji mahali anapokaa? Atakaa mahali popote atakapoona panamfaa.
Rekebisheni katiba kuaccomodate cheo cha lowassa maana akiibuka tajiri mwingine akapanda bei patakuwa hapatoshi hapo!
 
Baada ya kupanga kuvua gwanda na kuamua kuvaa kijani sasa naweza kuhoji bila wasiwasi maaana ukiwa ndani ukihoji unaitwa msaliti kama dk mihogo

Iv Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA?? ana cheo gan? Alichaguliwa na nani? Alipigiwa kura na nani? Akapitishwa na nani? Na kuapishwa na nani?

Maana kila vikao vya chama yupo na tena anakaa meza kuu na viongozi wakuu wa chama waliochaguliwa kihalali!! Ananipa wakati mgumu sana.

Siku hizi Mbowe anafata matamko ya Lowasa hata kama hayaendani na itikadi za chama hiki ivi Lowasa ni nani ndani ya chama?

Najua hakuna mwenye jibu na wote mtakuja hapa kunitukana lakini pia mjiulize iv hoja na ushawishi unafanywa kwa matusi na fujo??

Back to CCM
Yaan kumbe wewe ndio Boya wa CCJ uliyetoswa wenzako ????
Sasa si usharudi ugambani, ya CHADEMA yanakuhusu nini ?
Au ndio Ashk Majnun hizi ????
 
Back
Top Bottom