DOKEZO Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na wanavyomuogopa watakuwa wameenda kumnyonga Hadi kufa kabla kesi yake kusikilizwa

na olewenu tutawavuruga....banglesh wakubwa nyie
We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
 
Viongozi wawe makini sana, na ofisi ya DPP isimame kwenye maadili. Kuwashtaki watu kwa kosa kubwa kama la uhaini kijinga kijinga hivi ni kufanya hili kosa lionekane la kawaida sana.

Hii nchi ukiona watu wana vichwa vikubwa, suti kubwa na wanapiga makelele huko barabarani wakitaka kupishwa unaweza kudhani wanafikiri sawa sawa.

Hoja zinajibiwa kwa hoja, hakuna namna nyingine ya kujibu hoja. Mwenyekiti wa CCM atafute watu smart wanaoweza kujenga hoja awape nafasi. Hii tabia ya kuteua kwa kuangalia nani anasifu zaidi na nani anavaa sana kofia zenye picha ndio haya sasa unakuja kutumia uhaini kujibu hoja za kisiasa.
Nafikiri kuna some terms (mazungumzo) watakuwa wanafanya na Ofisi kubwa ili kujaribu kulimaliza hili kabla ya hearing.

Hili jambo linamchafua sana her excellence both internally and externally

 
Viongozi wawe makini sana, na ofisi ya DPP isimame kwenye maadili. Kuwashtaki watu kwa kosa kubwa kama la uaini kijinga kijinga hivi ni kufanya hili kosa lionekane la kawaida sana.

Hii nchi ukiona watu wana vichwa vikubwa, suti kubwa na wanapiga makelele huko barabarani wakitaka kupishwa unaweza kudhani wanafikiri sawa sawa.

Hoja zinajibiwa kwa hoja, hakuna namna nyingine ya kujibu hoja. Mwenyekiti wa CCM atafute watu smart wanaoweza kujenga hoja awape nafasi. Hii tabia ya kuteua kwa kuangalia nani anasifu zaidi na nani anavaa sana kofisa zenye picha ndio haya sasa unakuja kutumia uhaini kujibu hoja za kisiasa.


Umesema sahihi Mkuu

Changamoto iliyopo ni suala la kuwa na watendaji wasio waadilifu waliopatikana na kulipa fadhira za kuwezeshwa kuwa madarakani.

Hiyo ofisi ya DPP imetumika vibaya hata wakati ule wa JPM katika kuwalazimisha wafanya biashara kukiri makosa baada ya kubambikiwa kesi za Uhujumu Uchumi

Hizo ni tools katika kuendesha uonevu Kwa Wananchi
 
We mwehu acha ushabiki km zombie, huyo nyau si ni yuleyule wa 2020 aliyekimbilia ubalozi wa Ujerumani akatokomea Ulaya? We hujui maana ya dola, ustaarabu wa Rais ulikuwa unamlinda. Huyo ni nyau mdg sn hakuwahi ht kuwa na kacheo, aliyekuwa Rais wa Zanzibar aliwekwa kizuizini mpk anakufa, huyo nyau ni nani.
Wewe ndiyo Nyau huo Uonevu haramu wa kishetani una mwisho wake hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo madikteta hatari leo wapo wapi? Yupo wapi Elibashiri wa Sudan? Yupo wapi Mabutu, idd Amini Dada, sadam Hussein, Magu na wenzao?
 
Kuna watu wa G55 na mbowe wameugeuza mradi wa sasa, wanataka kutumia nafasi hii kumdhoofisha kisiasa ili warejeshe mbowe kuwa mwenyekiti tena, Mbowe anafanya hii kesi kuwa ngumu kwa malengo yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom