Lipumba na Mutungi waumbuka , tuhuma zao za kutafuna hela za CUF zathibitishwa na CAG

Hivi vyama vya siasa ni fursa tu kwa watu kutafuna pesa. Monopoly inatawala huko. Mwenyekiti wa chama ndo baba lao.
 
Hizi taarifa za CAG kwa umma , sioni umuhimu wake, kwa sababu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya ufisadi unaobainishwa zaidi ni kuja kusafishwa tena na kamati za bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Jaji wa mwisho kabisa huwa ni mwananchi...

Hata wasipochukua hatua lakini leo sasa ni rasmi tumejua kwamba Lipumba walishirikiana na Msajili ya vyama vya siasa kukwapua fedha za umma Tshs. 360m kinyume na taratibu, hizi wazirudishe kwa sababu ni fedha za walala hoi wa taifa hili.

Leo pia tumejua kwamba Maalim Self alikuwa sahihi !! Ila hujuma zote hizo zilipangwa na kupikwa na CCM kuisambaratisha CUF ampapo kweli zoezi limefanikiwa na CUF ipo ICU.
 
VIDEO: Ripoti ya CAG yabaini mapungufu CUF, CCM


  • Kichere amebainisha kwamba katika ukaguzi wake alibaini kwamba chama cha CUF kilipokea ruzuku ya Sh369.38 milioni lakini kiasi cha Sh300 milioni kilihamishwa kutoka kwenye akaunti ya chama kwenda kwenye akaunti binafsi.
 
Back
Top Bottom