Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nenda DIT zipoMkuu hapo Kariakoo kituon, sehem gan pale kesho nizuke mapema.
Nenda DIT zipoMkuu hapo Kariakoo kituon, sehem gan pale kesho nizuke mapema.
Vocha unaweza recharge kupitia maxmalipo au selecomDuh.... Had mliman..
Mliman ndani ndo kuna duka AU nje ya mliman ndo kuna hao vijana wanaotembeza?!
Half vp kuhusu vocha zake mkuu...
Nimebahatika kuja DAR leo nipo hapa MUHIMBILI HOSPITALI, kwa maeneo haya ya karibu na Hospitali kuna sehemu ambayo naweza kupata line ya TTCL?Kigoma bado.
Diamond Jubilee Kwa mbele pale kuna duka lao. Upande wa kushoto.Nimebahatika kuja DAR leo nipo hapa MUHIMBILI HOSPITALI, kwa maeneo haya ya karibu na Hospitali kuna sehemu ambayo naweza kupata line ya TTCL?
Ubarikiwe sana. Nitakwenda kuangalia uwezekano wa kujipatia moja.Diamond Jubilee Kwa mbele pale kuna duka lao. Upande wa kushoto.
hazina majanga yyte ukiswitch line nyingine 4G au 3G haitafanya kazi kama simu yako ni double line switch 3G kwenye ttclIla zina majanga.nilisajili moja.ikawa haifanyi kazi.ukiwapigia cm hawapokei.nikamrudishia wakala.akanipa hela yangu
Nenda kijitonyama ama chuo kikuuDAR mkuu
Ni 4.5GTTCL Dodoma wana 4g kweli?
Tumeshafika.Karibu katika kizazi cha T. Tumefanikisha