Line Yangu Ndo Inayofaa...

kwa kweli hiyo line ni haramu na ya kisodoma. napata nightmare na hangover za ajabu nikiona hata zile picha kule kwa wakubwa. tafadhari jamani kaka zetu kwa nini lakini mnakosea shabaha namana hii? we umeomba ttcl unaunganishiwa unawela tigo! kwa kweli jamani hapana. mkutano umevurugwa na mamabo haya ya kuchakachua line za simu, nadhani ninahitai kupumzuka niliombee taifa letu kwa Mungu

Dada Judith sio sisi, bali ni midadi ikipanda, na hasa ukizingatia minara ya simu imekaribiana mno ndo inakuwa basi tena!
 
Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe hupwaya na ukiitikisa tu network failure, Airtel mambo ya One8 inakamata lakini milimani tu, mabondeni hamna kitu, Zantel zenyewe ukiwa karibu na bahari inakamata sijui hii ni kwa watu wa Pwani tuu au vipi, Sasa mie nina line Ya Tigo, wakuu kote inakamata hata vijijini siku hizi pia mnajua bei yake rahisi, usiku napiga, mchana napiga, jioni ndo usiombe, hamna eti network busy wakati wowote, Tatizo ni moja tu, Kuiweka mara ya Kwanza ilikuwa ngumu kidogo...hii hali kuna mtu humu imemkuta wazee?
Shehetwani weeeee tena mkubwamkubwa tuu
 
Dada Judith sio sisi, bali ni midadi ikipanda, na hasa ukizingatia minara ya simu imekaribiana mno ndo inakuwa basi tena!

Simu za line mbili mkuu uwekaji wake matata, line place ziko karibu karibu mno, haswa kwenye giza utajikuta tayari line indumbukia kwenye Tigo na kutoa huwezi lazima upige tuuuuuuuuuuuuu
 
haahahahahahahahha very very happy mchakato mgumu hadi nimeitwa fisadi mchakachuaji lol, nimejiondoa kwenye game bana Magulumangu, kila la kheri

makoyo kaka tuliendeleze libeneke mtu wangu, ila mshindi kwa judi lazima apatikane...hahahahah
 
jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu

Miss Judith karibu sana huku kwetu nyumbani!
kumbe hata huku wapatikana mama
nimezoea kukuona jukwaa letu kule la watu wazima!!!!!!!
 
jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu

kwa majibu yako dada Judith natamani tuonane, mana inaonesah ni msichana mwenye hekima please send me ur contacts through private message. Hapa sitanii am serious
 
muone vile. Tena shetwain kabisa.
Sisi tulifikiri unaongelea tigo simcard kumbe unaongelea vijambio vyetu.

Ala mkuu vipi tena, Vijambio ndo yale majambia ya kihindi au unamaana gani hapa? Nayo yameanza siku hizi kuwa na mawasiliano au?
 
kwa majibu yako dada Judith natamani tuonane, mana inaonesah ni msichana mwenye hekima please send me ur contacts through private message. Hapa sitanii am serious

Hivi wewe lini utaacha mchezo wako wa kununua mbuzi kwenye gunia? Nani kakwambia ana hekima? wewe ngoja siku moja utanunua lile joka linaitwa Nghobogo linapatikana porini hulia kama mbuzi, hapo ndo utakoma kupenda milio ya mmeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom