hapa umenena kisura Judyjamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu
hapa umenena kisura Judyjamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu
hapa umenena kisura Judy
The Following User Says Thank You to Miss Judith For This Useful Post:thanks. tusaidiane kaka kukemea hata kwa kufunga na kuomba tuepushwe na tabia hizi za kisodoma
mkuu watu hawajui hii ndo mtandao unaoongoza tz na sio voda kama wanavyojali, ile kipindi si ndo ilikuwa inaitwa Mobitel au sio ikaja ikawa Buzzy ni Bomba acha bwana, nilibuzzy vibaya mno ila kwa sasa TIGO natumia kwa raha zangu...haina limit mwezi mzima napiga 24 hour a day, 7days a week, 365 days a year....
tuache kushinikiza ndoa ili Mungu mwenyewe atuunganishe. By mimi mwenyewe from observation
hii ni signature ya Miss Judith, hivi ni kweli kuwa Judith hujaolewa? Naomba kufahamu hili
what is the matter?
jibu swali, umeolewa au la?
Miss Judith you make my day at the end...duh hapa kweli kila swali jibu lake lipo tu...sasa jamani bila shombo kweli kuna samaki hapo Miss Judith?hivi wewe si ndio nimeona mahali unalalamika kuwa umekula samaki asiye na shombo? sasa haya mambo ya kuchakachua line unadhani shombo litatoka wapi?
hapa umenena kisura Judy
tuache kushinikiza ndoa ili Mungu mwenyewe atuunganishe. By mimi mwenyewe from observation
hii ni signature ya Miss Judith, hivi ni kweli kuwa Judith hujaolewa? Naomba kufahamu hili
hahahahaahahahaha loh, wala sio amri kisura wewe, naomba kujua kama umeolewa au la maana signature yako inanipa matumaini ya kuachana na ukapera mapema mwakanimmh, hata mapolisi saa nyingine wanatabasamu kidogo, ila hii amri yako, basi ngoja nijinyamazie manake mie siwezi kujibu kitu bila kujua kwa nini natakiwa kujibu
hahahahaahahahaha loh, wala sio amri kisura wewe, naomba kujua kama umeolewa au la maana signature yako inanipa matumaini ya kuachana na ukapera mapema mwakani
Miss Judith you make my day at the end...duh hapa kweli kila swali jibu lake lipo tu...sasa jamani bila shombo kweli kuna samaki hapo Miss Judith?
Mbona unamjibia swali bana? Mwache ajibu mwenyewe, husije mzibia au nizibia rizikiKumbe Thanks yako unataka kurusha tu mshare kwa Judith...ana mme wake huyo nitamwambia wewe jaribu utaona
Mkuu mimi sio mteja wa huu mtandao kabisa,,,mimi nimkereketwa sana wa airtel ambao ni legal kiimani na kisheriambona wewe mkuu unatumia line ya TIGO? acha hizo jamani....
ni kweli shombo japo kidogo ni muhimu ila ikishachakachua line zote na shombo nalo usishangae kulisikia kwenye bomba. if you want to enjoy it, remain and practice as natural as possible
hahahahaahahahaha loh, wala sio amri kisura wewe, naomba kujua kama umeolewa au la maana signature yako inanipa matumaini ya kuachana na ukapera mapema mwakani
Mbona unamjibia swali bana? Mwache ajibu mwenyewe, husije mzibia au nizibia riziki
Mkuu mimi sio mteja wa huu mtandao kabisa,,,mimi nimkereketwa sana wa airtel ambao ni legal kiimani na kisheria
Mmh! wala wewe sio fiancee wake, unajipendekeza tu. Ngoja nikueendee kwa Bi. Kalembwana kule Kilombero nikakushushe busha ndio utakomaKaolewa au Hajaolewa haikuhusu wewe, mimi ndo mchumba wake na soon next year tunamuona Rev Masanilo atimize dreams zetu....
Miss Judith jamani maneno yako tu yananipa tumaini la kutaka kuacha kutumia line ya Tigo lakini je, ule mkutano wetu bado upo au tayari wajanja wamepindua?