Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 471
Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu.
Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja Habari wa Hakielimu Elisante Kitulo wakizungumza kwenye kikao kati ya Serikali, asasi hizo na wanahabari wamesema kuwa katika mapendekezo zaidi ya 200 yaliyotolewa.
Tanzania imeyakubali ya kuyafanyia kazi mapendekezo 108 ambayo ni hatua kubwa ya utekelezaji ikilinganishwa na kipindi cha nyuma