zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 9,451
- 15,339
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.
Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.