hashimmbwana
Member
- Oct 4, 2015
- 43
- 7
Comment znakua chache wa tz bdo habar ikiwa ndefu wanashia lobo mungu akupenguvu uendelee ili tujifuz tulitoka wp
Kwani haujawahi kuiskia hiyo ?Mbona Jews holocaust hakuna? Au siyo genocide?
Aje? SijakusomaKwani haujawahi kuiskia hiyo ?
Jamaa kasema ameleta genocide tisa ambazo haujawahi kuzisikia.. Sasa hiyo ya Jews haujawahai kuisikia ?!Aje? Sijakusoma
Watu wanasoma juu juu tu kakaJamaa kasema ameleta genocide tisa ambazo haujawahi kuzisikia.. Sasa hiyo ya Jews haujawahai kuisikia ?!
Pole sana chief. Hivi vitu ndio maana siku hizi dunia inashirikiana kuepusha. Maana mataifa mengi wanaelewa wanaposikia genocide. Ni kawaida sana kukuta rami za posta zote zimekuwa na rangi nyekundu kama wameweka redcarpet ndani ya siku moja tu.Dah, nimekumbuka mbali sana, vita vya wenyewe kwa wenyewe Sierra Leon, mwaka 1996 nakumbuka vita vilianza mida ya tisa mchana tukiwa home, jamaa walizingila makazi ya wafanyakazi Wa UN walirusha sana risasi kabla ya kuja kupewa msaada na jeshi la serikali. Wakati tunaondolewa mnaambiwa kabisa toka na nguo uliyovaa tu. Vita isikie tu, tena isikie mbali tu.
Nashukuru sana Mkuu, sitasahau masaa manane yalikuwa marefu sana kuanzia saa 9 mpaka saa nne usiku wakati tunaondoka, chini ya majeshi ya serikali na ya UN.Pole sana chief. Hivi vitu ndio maana siku hizi dunia inashirikiana kuepusha. Maana mataifa mengi wanaelewa wanaposikia genocide. Ni kawaida sana kukuta rami za posta zote zimekuwa na rangi nyekundu kama wameweka redcarpet ndani ya siku moja tu.
GENOCIDE - the deliberate killing of a large group of people, especially those of a particular ethnic group or nation
GENOCIDE - the deliberate killing of a large group of people, especially those of a particular ethnic group or nation
HERERO
WACHECHNYA/WAINGUISH
WAHAITI
WHITES AT HAITI
MAKABILA WAKAZI WA DERSIM,
IGBO WA NIGERIA,
NDIO MAANA NILIANZA NA HOLOCUST NA RWANDA GENOCIDE KAMA GENOCIDE ZINAZOFAHAMIKA MKUU,
LABDA UWEKE POINT YAKO VIZURI. HAPA NI KUPEANA ELIMU NA UELEWA MPYA
Article II In the present Convention,No, that's not the definition of Genocide.
Read the Genocide Convention. (Article 2)
And from your bucket list above, its only Rwanda that evidences genocide.
Article II In the present Convention,
genocide means any of the following acts committed with intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnical, racial or religious group, as such :
(a) Killing members of the group;
(£) Causing serious bodily or mental harm to members of the group;
(e) Deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part; (rf) Imposing measures intended to prevent births within the group;
(e) Forcibly transferring children of the group to another group.
naomba ufafanuzi wahii definition mkuu. maana kwa akili yangu sioni tofauti na tunachokijadili na list hapo juu.
natanguliza shukrani kwa elimu nzuri unayotoa
Ahsante sana chief kwa proffessional reponse.The key element in the definition is Intention. Henceforth genocide must be an intentional act of destruction done against any of the group mention within Article 2 of the Convention.
Etymologically, the word Genocide is a typical new phenomenon. It is a result of intellectual invention which came after the Second World War.
The word Genos is Greek and it refers to tribe while Cide is a Latin word for murder.
Raphael Lemkin, a Jewish Polish philosopher coined the word as a result of barbarism Jews and the Gypsies had suffered under the Germany Third Reich.
And, this is the reason which compelled me to criticize some of your assertions regarding the crime of Genocide: The word came after The Herero, Ukranians, Chechens and white Haitians were long gone.
Many people particularly journalists tend to misuse the word Genocide.
And in fact the Crime of Genocide was first tried by the International Court after the Rwandan Massacre of 1994.
Prior to this it was very difficult for some lawyers to prove that people like Pol Pot, Mao Zedong, Lyndon B Johnson and the likes really had an Ultimate Intention to commit genocide.
Bear in mind that not every killing of a group amounts to crime of Genocide.
And genocide cannot be committed against a political group.
So next time you want to appear professional do not misuse the word genocide like that.
I expect you not to buy such arguments, unless you claim otherwise.
I hereby rest my case.
Hamna silaha hatari kwa mwadamu kama MWANADAMU MWENYEWE.
Kati ya wote hawa waliokufa, hamna aliyeuliwa na hayawani