chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 17,383
- 28,636
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.
Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba hawakuteuliwa kihalali, ila wanakula bure mishahara ya chama.
Pia soma

- Pre GE2025 - Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA
- Pre GE2025 - Lissu: Lembrus Mchome anachokifanya ni kutupotezea muda. Hakufika kikaoni, idadi ameijuaje?