Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,600
- 26,900
Mada inaongelea Lissu na Magufuli.Mbona Zitto alikuwa anamkosoa sana Magufuli alipatwa na nini?
January Makamba na Kampuni yake mbona walikuwa wanamkosoa na kumdhihaki Magufuli walipatwa na nini?
Vipi Kuhusu Samia ni nani amemkosoa na akabaki salama? Ni Soka au Ally Kibao? Au Job ndugai alipomkosoa mama ilikuwaje!
Vipi Kuhusu Polepole na Shule yake ya uongo Iliishaje?
Ivi Mbowe alikamatwa na kukaa gerezani miezi nane na nani?
Kwanini alitoka gerezani na kwenda IKULU moja kwa moja?
Ni nani aliyemtukana waziri Mkenda NOSENSE kwa kukataa dili la majangili ya Sukari?
Mlioshindwa darasa la saba mna matatizo kuelewa.