Pre GE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
17,372
28,623
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.

Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba hawakuteuliwa kihalali, ila wanakula bure mishahara ya chama.

Pia soma

View attachment 3296872
Watu wanafanya kazi,wewe unasema wanakula bure!
 
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.

Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba hawakuteuliwa kihalali, ila wanakula bure mishahara ya chama.
View attachment 3296872
Hii 🚮 haistahili airtime anayopewa!
 
KAZI ya dikteta Lissu hiyo.Anatakiwa kupingwa vikali na hadharani
 
Mnyika alishajibu Hadharani kuhusu hoja za uwepo wa kuvunja Katiba ya Chama.

Labda Mnyika anatakiwa amjibu huyu member kwa Barua.
 
Kama ni hivyo basi watanzania tunaenda na Lisu sababu tunataka mtu mwenye roho ya Magufuli.

Watanzania tuna dhambi ya kumpinga kumpinga Magufuli hivyo akirudi kupitia Lisu ni jambo jema
 
Back
Top Bottom