Anakimbizana yeye ni nesi, docta au mhurumie wa chumba cha maiti???wenyeji walitakiwa wawe kwenye field wakiandaa zoezi...umemuona mkuu wa wilaya alivyokuwa anakimbizana??....
Mkuu tabia za kike ndio zipi?acha kuleta mama zetu kwenye upuuzi wa LemaGambo anajipatia yeye kujichoresha mwenyewe kwasababu mwisho wa siku yeye ndiyo kaonekana kuwa na tabia za kike.
na ile ndiyo ilikuwa protocol kwa siku ya leo...kama mlikuwa na ya kwenu mmechemka
Sijamuona Kinana akiwa amevaa sare ya chama chakeSana huyo Gambo amehidhalilisha msiba siyo wa Chama Cha Mauaji.Msiba ni wa Watanzania wote.Ni aibu kumpa Kinana nafasi ya kutoa pole wakati siyo Mbunge wala Kiongozi wa kiserikalina kuwaacha wenyeji Mayor na Wabunge.Ni aibu.
Na wewe uliyeandika huu ujinga akili yako nenda kapime
Lema ameshiriki huu msiba wa watu wake kikamilifu halooo acha kushabikia chuki za kisiasa maana hata wewe huwezi kuwa salama uhasama na chuki za kisiasa zikifikia kileleNimeshangazwa na kitendo cha Lema kutoonekana kokote pale ambapo utaratibu na maandalizi ya kuwaaga watoto wapendwa yalifanyika.
Sijamuona lema karatu au Mt meru akishirikiana na timu ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya katika kufanikisha zoezi la leo.wazazi na ndugu wa marehemu watakuwa ni mashahidi juu ya nani haswa walishirikiana nao toka mwanzo hadi leo hii katika hatua iliyofikiwa.
Pia sijamuona lema akienda kuwasabahi majeruhi watatu wanaoendelea na matibabu.
Badala yake nimemuona lema akiwa na gwanda zake za khaki huku muda mwingi akiongea au kutumia simu yake ya kiganjani na akitamani au kusubiria kushika kipaza ili aingize siasa.
Misiba ya watoto waliopigwa bomu katika uzinduzi wa kanisa olasiti uliendeshwa kihunihuni na kisiasa mno;lakini leo tumeshuhudia maandalizi na mpangilio mzuri ...
Ni wajibu wa kila kiongozi kuheshimu utu wa watoto hawa...tuko kwenye majonzi na sio kwenye kujitambulisha sisi ni kina nani kwenye msiba.
List ya watu walioshiriki kwa kiwango kikubwa katika uokozi,ubebaji wa miili nk ni kubwa lakini hao wote hawajataka kushika kipaza sauti pale stadium na sio kwamba wamebaguliwa.
POLE KWA WAFIWA..MUNGU AWAPE NGUVU.
KWA HISANI YA WATU WA ARUSHA.
what do you think behind your brain for this event,Nimeshangazwa na kitendo cha Lema kutoonekana kokote pale ambapo utaratibu na maandalizi ya kuwaaga watoto wapendwa yalifanyika.
Sijamuona lema karatu au Mt meru akishirikiana na timu ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya katika kufanikisha zoezi la leo.wazazi na ndugu wa marehemu watakuwa ni mashahidi juu ya nani haswa walishirikiana nao toka mwanzo hadi leo hii katika hatua iliyofikiwa.
Pia sijamuona lema akienda kuwasabahi majeruhi watatu wanaoendelea na matibabu.
Badala yake nimemuona lema akiwa na gwanda zake za khaki huku muda mwingi akiongea au kutumia simu yake ya kiganjani na akitamani au kusubiria kushika kipaza ili aingize siasa.
Misiba ya watoto waliopigwa bomu katika uzinduzi wa kanisa olasiti uliendeshwa kihunihuni na kisiasa mno;lakini leo tumeshuhudia maandalizi na mpangilio mzuri ...
Ni wajibu wa kila kiongozi kuheshimu utu wa watoto hawa...tuko kwenye majonzi na sio kwenye kujitambulisha sisi ni kina nani kwenye msiba.
List ya watu walioshiriki kwa kiwango kikubwa katika uokozi,ubebaji wa miili nk ni kubwa lakini hao wote hawajataka kushika kipaza sauti pale stadium na sio kwamba wamebaguliwa.
POLE KWA WAFIWA..MUNGU AWAPE NGUVU.
KWA HISANI YA WATU WA ARUSHA.
Sijamwona akililia mic.Kwa hiyo kina gambo na wengine walivyokuwa wanakimbizana wao ni madaktari au manesi??
Anavyolilia mic amekuwa mchungaji au Mwanamuziki??
Akili yako haikusaidii kabisa inakuaje mbunge wa jimbo asipate nafasi ya kusalimia apewe Mpango ambaye hana hata jimbo?Lema namkubali ila aache kutafuta political points, sio lazima yeye kuongera, tuwaache watoto wapimzike kwa amani
sisiem inapanda kwenye misiba!?Lema alitaka kuvuna asipopanda anapenda dezo
Nyie shida yenu nikutaka kujifanya ninyi ndo wenye uchungu sana na wananchi kuliko wengine. Ndo maana pale mkawa munaweka sura za kutiatia huruma ili ninyi ndo muonekane na uchungu mpewe polee nyingiii kumbe mko kwenye siasa......wakat watu wanawaza msiba ninyi mnawaza msipigwe bao.....ndo maana na kula watu wa arusha hawawapiLema namkubali ila aache kutafuta political points, sio lazima yeye kuongera, tuwaache watoto wapimzike kwa amani
Sawa tu kumtolea nje, angeanza kutoa mapovu.
Utazani msiba wa chadema
Hujui ama?Protocol msibani??