Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

f1f585b3314d11695c078ce5be224be0.jpg
7185dacc96192b7e4f99f459f42855bd.jpg
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM, Lazaro Nyalandu amemtembelea Mh. Edward Lowassa Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es salaam.

...i wonder if that office has a president potrait! and if it does...how do they look at it..!!! hahahha

*sijui nawazaga nini sometimes na mm
 
Tatizo la CCM uamsho wakiona hivi wanahaha kumbe maskini ya Mungu its just normal gentleman hi.
 
Katika Afrika demokrasia ni mapambano ambayo mara nyingi hugharimu mali na damu ili kuufikia uhalisia wake. Hii yote ni kwa sababu tabia za wanyama hazijatutoka Waafrika! Yaani hata Msomi wa kiwango cha Falsafa katika Afrika akikabidhiwa madaraka kinachofuata atataka awatiishe wenzake si kwa hoja bali kwa mtutu. 'Too pahetic'
Karibu Makamanda tushirikiane kuijenga demokrasia ya nchi yetu dhidi ya Udikteta.
 
Nimependa sana mawazo ya Makamanda, Lema anasema ufisadi wa Wizara ya Maliasili aulizwe Maige na si Nyalandu. Sasa ataibuka Nasari naye akanushe tuhuma zake kuwa Nyalandu hakumshika makalio askari wanyama pori wala kutanua Marekani na mamiss kwa kodi zetu.
Hawa jamaa wamechanganyikiwa na wanazidi kuchangaya mambo.
 


Leo aliyekuwa mbunge wa Singida Magharibi na aliyejiuzulu ndugu Lazaro Nyalandu amekukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kufisadi nchi, Mzee Edward Ngoyai Lowassa ofisini kwake Mikocheni. Haijajulikana hasa wamezungumza nini lakini inaonekana ni katika maandalizi ya kumkaribisha Nyalandu CHADEMA.

Alikufisadi ww au familia yenu kukumaji ww.
 
Back
Top Bottom