Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

Nadhani ungepunguza kukurupuka ungeweza kupata muda wa kufikiri. Yaani hata kama macho yako ni makengeza umeweza kuuona waya unavyofunga mlango??
Huwezi kuona kuwa ni zaidi ya kufunga mlango hapo na kwamba anaweza kuwa anaona hata Km 100 kutoka hapo alipo?? Kweli ushamba mzigo. Haya ngoja aje JF kuomba mchango wa kufuli ili umchangie
Wapambe wa Lowasa naona mmecharuka.
 
Leo aliyekuwa mbunge wa Singida Magharibi na aliyejiuzulu ndugu Lazaro Nyalandu amekukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kufisadi nchi, Mzee Edward Ngoyai Lowassa ofisini kwake Mikocheni. Haijajulikana hasa wamezungumza nini lakini inaonekana ni katika maandalizi ya kumkaribisha Nyalandu CHADEMA.

We mwanamwana mbona umiandika kichanguchangu hujaacha tu hi kazi?
Tatizo liko wapi?
 
Nimependa sana mawazo ya Makamanda, Lema anasema ufisadi wa Wizara ya Maliasili aulizwe Maige na si Nyalandu. Sasa ataibuka Nasari naye akanushe tuhuma zake kuwa Nyalandu hakumshika makalio askari wanyama pori wala kutanua Marekani na mamiss kwa kodi zetu.
 
Leo aliyekuwa mbunge wa Singida Magharibi na aliyejiuzulu ndugu Lazaro Nyalandu amekukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kufisadi nchi, Mzee Edward Ngoyai Lowassa ofisini kwake Mikocheni. Haijajulikana hasa wamezungumza nini lakini inaonekana ni katika maandalizi ya kumkaribisha Nyalandu CHADEMA.

Wahujumu uchumi kwenye ubora wao
 
Back
Top Bottom