Habari wana jamvi,
Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper.
Lakini nikiri wazi kua Lava lava ni bwana mdogo mwenye kipaji sana sema naona kama hapati anachostahili.Ni msanii mwenye uwezo wa kuandika na kupangilia melody kali sana zenye mvuto kwa sikio lolote lenye kuujua mziki.
Naomba asikate tamaa aendelee kutunga na kuweka akili kwenye mziki ipo siku tasnia itakiri uwezo wake na kupata kile anachostahili.
Asante.