Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
- Thread starter
- #41
Duh!!Ndio,ila sharti isiwe scientific.
Duh!!Ndio,ila sharti isiwe scientific.
Walituma sms tu.....kuna tetesi wameita watu 50 tumwenye link aweke HAPA TUYAONE MAJINA LABDA LA JAMAA YANGU LIPO
Mimi walinitumia msg, majina labda kwenye magazeti au try kucheck kwenye website yap
Dah si mchezo!! Ila tutajua Siku si nyingi , tuombe Mungu atupe uzimaWalituma sms tu.....kuna tetesi wameita watu 50 tu
Mmmh watu hamsini kama ni hivyo bora kwenda maana nilikata tamaa kabisa kusikia duce na tupo bukuWalituma sms tu.....kuna tetesi wameita watu 50 tu
Mmmh watu hamsini kama ni hivyo bora kwenda maana nilikata tamaa kabisa kusikia duce na tupo buku
DuhhIngekuwa ni watu 50 aptitude test isingefanyikia duce, nadhani ni zaidi ya 1500
aiseee ni noma Mimi nimehakata tamaa.Ingekuwa ni watu 50 aptitude test isingefanyikia duce, nadhani ni zaidi ya 1500
aiseee ni noma Mimi nimehakata tamaa.
Kwenda na kufanya interview ni experience hata kama hutochaguliwa au kupata hiyo kazi inasaidia kwa interview zijazo pia inaongeza kujiamini.Usikate tamaa kwa maana hakuna mwenye jibu sahihi ila ni kila mtu anajaribu kuhisi. Inawezekana kweli wakawa watu 50 kama mdau mmoja alivyosema, japo swali ni kwamba watu 50 wataitiwaje duce?
Mlijuaje kama wameita buku 3 coz binasfi nilipta msg tu ya kunitaarifu pasipo kuonyesha watu wako wangapi ni hisia tu au nyie mnataarfa hadi na idadi ya watu?Bila shaka hawataki kufata utaratibu PSRS ili waweze kutengeza mazingira yao wenyewe ambayo yanaleta unfair competition. Taasisi kubwa inaharibu reputation yake kwa jambo simple sana , wabongo hatujuagi kitu fairness. Hr unaitaje watu buku 3 ..., halafu iweje
Kwani unadhani inafanyika interview ya position moja niniIngekuwa ni watu 50 aptitude test isingefanyikia duce, nadhani ni zaidi ya 1500
Bonge la comment la kutia moyo aiseWadau ukienda kwenye kitafuta kazi inabidi ujifikirie wewe, hata ukikuta watu elfu 10 wewe jiamini na kuwa tayari na matayarisho uliyofanya iki kujiamba utawashinda wote.
Hii ya kuogoa hautakiwi, sasa ukiogopa humo ndani si utakuwa unaangalia hata watakaomaliza kabla yako... utajiona umefeli na kumbe wewe uliyekaa hadi mwisho unaweza kuwa umejaza majibu sahihi.
Umuhimu ni wewe upo tayari? Ukipita hltest basinanza kusoma kama vile unasomea mtihani ili na interview ufanye vizuri.
Ni mwendo wa kukaza kamba, usipopata leo unakua umejiongezea ujuzi wa kwingine baadae kujitekebisha na kufanya vizuri.
Wewe huyo jamaa anakuponza tu. Yule wa kwanza ndio amekupa ushauri mzuri. Pia hujui yeye ni nani pengine ni muhusika na wanaangalia usiri. Jifunze kusoma between lines, maelezo ya jamaa aliekupa ushauri wa usiri yanabeba ujumbe flani kwamba jamaa anajua jambo au anauzoefu au yuko jikoni kwenyewe. Huyo wa pili ni uanaharaki na ujasiri mwingi ambao saa nyingine unaponza au una expose weakness yako.Thanks for the rescue bro, manake jamaa anatufanya tujiskie vibaya kuomba msaada kwenye unfair competition . ila hatukati tamaa hata iweje na kamwe hatutakua waoga, tunajua LAPF labda wana watu wao Ila tutaenda tu kufanya aptitude test kwa garama zetu Kifua mbele tukijua Mungu ndio mwezeshaji wa riski . tupe moyo , usitukatishe tamaa, na Mungu atatusmamia tutapata riski zetu ..
EB mcheck jamaa aiseKuna jamaa (mwana au rafiki) anafanya kazi huko ngoja nimdodose idadi ya watu walioita niwaletee humu matumaini wadogo zangu
Jamaa hajapokea simu yangu usiku huu ntamcheki kesho.EB mcheck jamaa aise