Moneytrolly
Senior Member
- Sep 17, 2016
- 128
- 76
- Thread starter
- #61
Hii ni njia ya kutaka kupata information, mambo ya ujasiri, sjui usiri, kua na vifua, weakness ( ambayo itabidi utoe ufafanuzi) n.k yanatoka wapi aise wakati nafasi za kazi zimetangazwa public , majibu yametoka public.., kwani kwenye comment za watu huku ndani kuna kipi kipya ambacho hua akitokei zikitoka nafasi kama hizi!!Wewe huyo jamaa anakuponza tu. Yule wa kwanza ndio amekupa ushauri mzuri. Pia hujui yeye ni nani pengine ni muhusika na wanaangalia usiri. Jifunze kusoma between lines, maelezo ya jamaa aliekupa ushauri wa usiri yanabeba ujumbe flani kwamba jamaa anajua jambo au anauzoefu au yuko jikoni kwenyewe. Huyo wa pili ni uanaharaki na ujasiri mwingi ambao saa nyingine unaponza au una expose weakness yako.