Lamu and Bagamoyo Ports Progress

hebu niambie kwa nini 70 %Ya wakaaji wa Dar wanaishi kwenye slums??
Nipe exact population ya dar residents na nambie idadi ya wanaoishi kwenye slums na out of the slums. Then nipe idadi ya kenya. Just for information purpose

Then tizama wapi tumetoka na tulipo kisha jitizameni nyie mr misifaz. Population living in slums (% of urban population) | Data

77% ya watu TZ walikuwa wanaishi kwenye slums, sasa ivi wamepungua, nyie je?
 
It would be very stupid to construct Bagamoyo port at a give away price ilhali bado potential za bandari za Mtwara, DSM na Tanga bado hazijawa fully utilized. Hii project ilikuwa blackmail tangu day one amekuja Rais mpya wa China wakati ule.

The good thing is, kwa sasa tuna rational government ambayo iko tayari kula matapishi ya watangulizi ili mradi nchi isiuzwe for the sake of eye catching projects zisizo kipaumbele.

Bagamoyo port will be important in the future, not now.
 
Huu uzi huna wachangiaji waliokurupuka happy awali, sijui ni aibu ama kea lugha ya Malkia tunasema "Kuwa Humbled' 🤔😂😂😂 joto la jiwe usijifanye hujaona Hii , Geza Ulole 😏 mwanzilishi wa uzi kwa mihemko 🤣🤣 mkorinto ichoboy01 bado umekwamilia kwa lost battle 😂😂 eliakeem njoo udefend your fallen soldiers and project.
 
We are good winner in the Bagamoyo port game.
You are a bad loser in SGR game.
 
We are good winner in the Bagamoyo port game.
You are a bad loser in SGR game.
Nonsense! You are comparing apples with oranges my friend. The case in hand is Lamu port vis a vis Bagamoyo. I think you know the result already.
 
Back
Top Bottom