MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,361
In terms of what?mizigo au ukubwaBongo muna ports ila ukiziweka zote pamoja bado hazifikii Mombasa.
In terms of what?mizigo au ukubwaBongo muna ports ila ukiziweka zote pamoja bado hazifikii Mombasa.
Mmhh, yaani bandari zote za Pemba, unguja, mafia, dsm, tanga, lindi na mtwara hatufikii mombasa?Bongo muna ports ila ukiziweka zote pamoja bado hazifikii Mombasa.
Povu sasa hivi la nini??Wakenya mnaligi sana, mbona hamjilinganishi na Ethiopia?
Hebu tokeni zenu
Hahaha.... Lol!.... Bagamoyo port almost complete and it will be the largest in Africa
View attachment 505872
Naam, ukweli huo! Japo mchunguMmhh, yaani bandari zote za Pemba, unguja, mafia, dsm, tanga, lindi na mtwara hatufikii mombasa?
Haiwezekani
Kabisa tena sio mjinga tu, anaweza hata kumuona tahira wa kiwango cha Lami.Comment kama hii mkenya lazima akuone mjinga.
Hahahaha wana uwivu sana nasi hawa majamaa! Inferiority complex ya hali ya juu!Wakenya mnaligi sana, mbona hamjilinganishi na Ethiopia?
Hebu tokeni zenu
Kila kitu.In terms of what?mizigo au ukubwa
Comment kama hii mkenya lazima akuone mjinga.[/QUOTE
Well said
Mijitu kama hiyo ni ovyo kabisa!
A few years ago Kenya announced grand plans to construct Africa's largest infrastructure dubbed LAPSSETT which would see a modern port in Lamu, then poised to be the largest in Africa, served with a modern network of Rail and Roads to all her neighbors. A few months later Tanzania responded with plans for an even grandeur port at Bagamoyo poised to beat Lamu and become the largest on the continent.
To date, works on Lamu port are well on way and construction is doing fine. Bagamoyo however seems stuck. This thread talks of the progress of these two game changers. Please feel free to share information.
Below are photos of Lamu Port Progress.
View attachment 505836 View attachment 505837 View attachment 505838
Cargo handling. Quantity of imports and Exports and overall efficiency. Mombasa handles more cargo than all Tanzanian ports combined and is more efficient.In terms of what?mizigo au ukubwa
Hauna uchungu wowote, ukweli kwa sababu wewe umesema? Achaga jokesNaam, ukweli huo! Japo mchungu
Hehehe!! Waache wako busy kuhakiki vyeti, mambo ya Bagamoyo port wala nini hawana muda nayo.
Ligi nyingine ni zakijinga sana! Tanzania ina Bandari nne (4) nyinyi hiyo ndiyo ya pili mnajenga ambayo ilipigwa chini na bandali ya Tanga.
Kweli kabisa kujenga hii ya Bagamoyo sio muhimu kwa "sasa" maana hata hii ya huko nyuma ilikua under utilised sana na over utilised kwa mizigo ya wapiga dili, itakua poa kwanza kuboresha hii ya Dar kuanzia kufanya kazi 24hrs kama alivyo agiza Raisi na mengineo...Tanzania bado tunajenga Chato International Airport, Bagamoyo Project sio muhimu kwa sasa
you mean superiority complex...Kenya is superior to TZHahahaha wana uwivu sana nasi hawa majamaa! Inferiority complex ya hali ya juu!
Ligi nyingine ni zakijinga sana! Tanzania ina Bandari nne (4) nyinyi hiyo ndiyo ya pili mnajenga ambayo ilipigwa chini na bandali ya Tanga.
No, it's Kenyans inferiority complex because of THISyou mean superiority complex...Kenya is superior to TZ