Oh, kweli ule walioimba wote ulikuwa ukipigwa sana clouds. What if yeye ndiye composer wa huo wimbo, Maana natumai wengi walikuwa ni wa THT na kama kumbukumbu zangu ni sawa ditto alikuwa mwalimu wa THT na mtunzi wa nyumbo nyingi.Original version ya huo wimbo ni ule wa wasanii wote waliimba Nchi Yangu, yeye Lameck Ditto aliurudia kuimba peke yake as second version, yaani hata yeye ditto sio wimbo wake, ali ucopy na kuimba tena..!!