Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

Mejasoko

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
208
445
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui Na FA
8. Wanoknock na Mandojo&Domokaya
9. Mambo ya Pesa na Sugu
10. Amen na Rapture
11.Muda mrefu na Sugu
12. Single na Ali kiba
13. Anita na Matonya
14. Kadi na ua rozi na Fid Q
15. Kilimanjaro na Joh Makini
16. Sema na Mr Blue
17. Nisamehe na Kidumu
18. Ndio mzee na Prof Jay
19. Msiache Kuongea na Fa
20. Labda mpenzi na Rama D
 
Lady JD muda wake ushapita anatakiwa akubali kwa sasa hana jipya la kuofa kwenye kiwanda chetu cha muziki. Ndio maana zinaongelewa simulizi za kale kuhusu yeye.

Huu ni wakati wa Zuchu.

Zuchu ndio queen wa bongofleva.
 
Dada kiti chake hatukigusi kwasababu ya ukubwa wa mchango wake kwenye tasnia.
Ila naomba kuuliza, hivi Pauline Zongo alipotelea wapi ?

NJE YA MADA: Binafsi naamini marehemu Maunda Zorro alikuwa na nafasi ya kufanywa makubwa kwenye tasnia kuliko wanawake wote lakini nadhani hakuwa na usimamizi mzuri au alichagua njia siyo sahihi.

Merry Christmas & Happy New Year, Brothers and Sisters
 
Nitajie collabo tatu tu za zuchu alizoshirikishwa akafanya vizuri ndio tuanze kumfikiria
 
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui Na FA
8. Wanoknock na Mandojo&Domokaya
9. Mambo ya Pesa na Sugu
10. Amen na Rapture
11.Muda mrefu na Sugu
12. Single na Ali kiba
13. Anita na Matonya
14. Kadi na ua rozi na Fid Q
15. Kilimanjaro na Joh Makini
16. Sema na Mr Blue
17. Nisamehe na Kidumu
18. Ndio mzee na Prof Jay
19. Msiache Kuongea na Fa
20. Labda mpenzi na Rama D
Mapenzi yalimpoteza kwenye game
 
Dada kiti chake hatukigusi kwasababu ya ukubwa wa mchango wake kwenye tasnia.
Ila naomba kuuliza, hivi Pauline Zongo alipotelea wapi ?

NJE YA MADA: Binafsi naamini marehemu Maunda Zorro alikuwa na nafasi ya kufanywa makubwa kwenye tasnia kuliko wanawake wote lakini nadhani hakuwa na usimamizi mzuri au alichagua njia siyo sahihi.

Merry Christmas & Happy New Year, Brothers and Sisters
Pauline zongo kwa mara ya mwisho nilimwona akihojiwa na Big Chawa ni kama alikua anasumbuliwa na urahibu wa madawa hivi Mungu amfanyie wepesi atoke huko kwenye Hilo shimo. Alikua Guitarist mzuri na bonge la vocal, ukisikiliza sister sister ya Gk ndio utaielewa, na Unanitega ya Fa kapiga sana Guitar 🎸
Maunda Zoro alifanya kazi chache tatizo, ni kama aliupa mziki kisogo mapena
 
Lady JD muda wake ushapita anatakiwa akubali kwa sasa hana jipya la kuofa kwenye kiwanda chetu cha muziki. Ndio maana zinaongelewa simulizi za kale kuhusu yeye.

Huu ni wakati wa Zuchu.

Zuchu ndio queen wa bongofleva.
Zuchu??? kafanya collabo ngapi mpaka sasa?
 
Dada kiti chake hatukigusi kwasababu ya ukubwa wa mchango wake kwenye tasnia.
Ila naomba kuuliza, hivi Pauline Zongo alipotelea wapi ?

NJE YA MADA: Binafsi naamini marehemu Maunda Zorro alikuwa na nafasi ya kufanywa makubwa kwenye tasnia kuliko wanawake wote lakini nadhani hakuwa na usimamizi mzuri au alichagua njia siyo sahihi.

Merry Christmas & Happy New Year, Brothers and Sisters
Dah Pauline alikuwa na vocal Hatari, nimekumbuka ngoma ya GK nitakufaje
 
Lady JD muda wake ushapita anatakiwa akubali kwa sasa hana jipya la kuofa kwenye kiwanda chetu cha muziki. Ndio maana zinaongelewa simulizi za kale kuhusu yeye.

Huu ni wakati wa Zuchu.

Zuchu ndio queen wa bongofleva.
Mchungu Ukweli
 
Zuchu??? kafanya collabo ngapi mpaka sasa?
Angetaka angekuwa nazo hata 100.

Muziki wa sasa ni biashara, uimbi tu na mtu hovyo hovyo ili uwe na kolabo nyingi unaimba na mtu anayeweza kuongeza value kwenye biashara yako.
 
kwahiyo hamna watu wanaoweza kuongeza value kwenye biashara yake?
 
Angetaka angekuwa nazo hata 100.

Muziki wa sasa ni biashara, uimbi tu na mtu hovyo hovyo ili uwe na kolabo nyingi unaimba na mtu anayeweza kuongeza value kwenye biashara yako.
Hana uwezo wa kufanya multiple genre na different music content kama lady Jaydee na bila WCB backups ndo kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom