Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

kwahiyo hamna watu wanaoweza kuongeza value kwenye biashara yake?
Anao na amefanya nao. Diamond, Mbosso, D Voice, Rayvan, Darasa amefanya nao project kubwa mfano wimbo alioshirikishwa na Rayvanny number 1 mwaka huu hauishi utakuwa na views million 100, wimbo mwingine i miss you una views million 32. Hivyo ndio namna wafanyabiashara wa muziki wanafanya kazi zao

Sio msululu wa kolabo hazina hela
 
Dada kiti chake hatukigusi kwasababu ya ukubwa wa mchango wake kwenye tasnia.
Ila naomba kuuliza, hivi Pauline Zongo alipotelea wapi ?

NJE YA MADA: Binafsi naamini marehemu Maunda Zorro alikuwa na nafasi ya kufanywa makubwa kwenye tasnia kuliko wanawake wote lakini nadhani hakuwa na usimamizi mzuri au alichagua njia siyo sahihi.

Merry Christmas & Happy New Year, Brothers and Siste
Kifo cha huyu dd kiliniuma sn, alikua na kipaji kikubwa mno. Sauti yake nzuri sn dah kwa kwel mziki bado ulikua unamdai
 
Anao na amefanya nao. Diamond, Mbosso, D Voice, Rayvan, Darasa amefanya nao project kubwa mfano wimbo alioshirikishwa na Rayvanny number 1 mwaka huu hauishi utakuwa na views million 100, wimbo mwingine i miss you una views million 32. Hivyo ndio namna wafanyabiashara wa muziki wanafanya kazi zao

Sio msululu wa kolabo hazina hela
Kolabo hazina ela Bongo DSM nyimbo Bora ya Bongo flavor ya wakati wote,
Kolabo yake na Kidumu ya nisamehe best east Africa song
 
Mkuu, kufanya collabo sio kigezo kikubwa cha kupima ukubwa au ukali wa msanii. Mfano Prof. Jay toka mwaka 1999 mpaka 2003 hakua na collabo hata moja, ila ndio alikuwa mchawi wa Rap!!
naelewa mkuu, nilikuwa namuuliza huyo anayemsifia Zuchu na kumuweka kwenye kapu moja na Lady jaydee
 
Mkuu, kufanya collabo sio kigezo kikubwa cha kupima ukubwa au ukali wa msanii. Mfano Prof. Jay toka mwaka 1999 mpaka 2003 hakua na collabo hata moja, ila ndio alikuwa mchawi wa Rap!!
2002-2003 Mtazamo by Afande Sele feat Prof Jay and Solo Thang, huko Jay ndio Alikua nguzo kwenye chorus Kali na vesi positive na inspirational ilikua vesi yake ya pili
 
Hivi Pauline Zongo ndo wa mgumba sasa amezaa?
Hpn sio, huyo wa mgumba ss amezas ni hadija kimobiteli. Na ile mgumba og ile ya kwanza alke ni Amina ngaluma amby tyr ametangulia mbele ya haki. Pauline zongo alikua anaimba bendi ya tot plus na kina misambamo, yule wazir sonyo
 
Kwa chorus gani? Au huelewi kinschoongelewa?
Labda km hujui mziki na huelewi chorus ni nini ndo utabisha...

Sikatai kuwa Jaydee yupo vizuri kwenye chorus lakini Maua Sama ni balaa zaidi linapokuja suala la chorus na wasanii wa HipHop na Rap. Tena namuweka on the top kabisa, hamna anayefikia viwango vyake kwa wasanii wa kike wote wa bongo.

Hebu nenda kasikilize hizi ngoma ndo uje unambie wapi Jaydee anamzidi Maua Sama:

~So crazy ya Mwana FA
~Love me ya Stamina
~Kiba100 ya Rostam
~Simuachi ya Nay
~Your body ya Godzilla
~Shika ya Darassa
~n.k

Pia kasikilize verse kwenye hizi ngoma (huku hajaimba chorus)
~Yako wapi ya Darassa
~Gusanisha ya Gnako

Ukimaliza njoo utoe mrejesho
 
Hizo nyimbo ulizotaja ndio unazifananisha na alizoimba chorus Jaydee? Hauko serious.
 
Mkuu, kufanya collabo sio kigezo kikubwa cha kupima ukubwa au ukali wa msanii. Mfano Prof. Jay toka mwaka 1999 mpaka 2003 hakua na collabo hata moja, ila ndio alikuwa mchawi wa Rap!!
Bado Nakuhitaji aliyoshiriishwa na Banan Zoro ilikua ya Mwaka gani?
 
Back
Top Bottom