Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

basi halafu kingine nilikua namiss sana zile moments yan mkikutana ni miti tu saa zingine naona nitadata najichanganya na kazi n mambo mengine napenda sana kusafiri nakumbuka nilipanga siku moja niifurahishe nafs nisafiri kwenda zenji hapo kule kazini nilikokua nafanya kaz nikaacha mshahara ukawa wa manati nikaona noo sikuumbiwa kuteseka na sio shida zangu nikaacha nikaanza kuzidokoa hela za watu mara hamsini nimeenda nunua chupi nauza mtaani mara nimekula mtaji mara bi mkubwa kakwama baba anaumwa naye hela zamatumiz zikakata, ukitumiwa hela za kujikim unapewa na risala na muda wa kuisha hizo hela zikiisha mm nadokoa hela za watu jaman nilizila laki nne zote cha maana nilichofanyia sioni hapo nafsi inasema hujakoea kuzila kwan s kakutumia, muda wote una haki ya kuzila bibi kula hata zingekua milioni wewe kula bas najipa relief mabo yanakwenda, nakumbuka nilienda zanzibar nilikua na akiba na sugar daddy alivyojichanganya hela hazikua tatizo zurura sana kama wiki ile narudi ilikua mwaka 2018 nishafika nyumban tumesalimiana na wazaz nimelala usiku naona namna inapiga kila saa nikashtuka nikampigia wewe nani mimi mumeo nimerud lakini niko mkoa mwengine natarajia kuja mimi nikamshushia msonyo wa ibilisi na tusi sim nikaikata nikaizima usingizi ukakata mazima
 
Ndoa inayodumu ni ile ya kumuamini mwenzako bila kujali anachofanya, ukijali anachofanya, ndoa haiwezekani, Mume wako anaweza Kuwa na michepuko 8 huko nje na hajui! Vuta Subira!
sanaa, mimi sikujali alikua anashije huko, nasikutaka kujua sababu sikuona natakiwakujua sasa nikishajua itanisaidia nn mm? lakini yeye ilibidi nimwambievajue vitu nilivyopitia
 
Back
Top Bottom