Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
6,608
16,488
lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki.

Kuna system yenu mnaiita kazi data kwa wasiojua hii kazi data inajumuisha majina ya watahiniwa walioomba kazi na kufaulu saili zote mbili written na oral ila kwa bahati mbaya nafasi zinakuwa chache hivyo unawekwa kwenye kanzi data kwa miezi sita ikitokea serikali na taasisi zake zinahitaji watu wenye sifa kama zako unajulishwa kuna nafasi na kama upo tayari kuajiriwa unaanza kazi direct.

Tatizo hapo ni moja muhusika huyu msaka ajira hunakuwa huna taarifa zozote km upo kwenye kazi data au la yaani wenyewe ndio wanajua nani yupo kwenye kazi data yaani ni km bahati nasibu maan haya mambo ufanywa nyuma ya pazia huko (back office).

Kingine tunajuaje kama wanaoitwa kwenda kuanza kazi wote walifaulu na kustaili kuwa kwenye kanzi data, hii system yenu inatia shaka sana mauza uza yoyote yanaweza kufanyika huko back office na isijulikane.

Nini kifanyike

Mfumo wenu utaleta maana kama wahusika watakuwa wanajua hatima yao katika kanzi data hiyo mfano mkitoa majibu ya mwisho kwa wale waliofaulu na kuitwa kazini na waliowekwa kwenye kazi data na alama zao za ufaulu wawekwe wazi hakuna haja kuficha ficha.

Mtu ambaye amefaulu na kuwepo kwenye kazi data asifanye tena interview maan huko ni kupotezeana muda na unyanyasaji huo ..wasubili nafasi zenye sifa kama zao ikitakazwa basi waiteni wenye ufaulu mkubwa wapewe kazi na wengine watafuata.

Huo ni ushauri kwenu sekritariet ya ajira.

Ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe.
 
Sasa hapo kuwatenga wenye ufaulu wa wastan au na mdogo, inamaanisha nini unahisi nayo iko fair kwamba haitakera kama ulivyokereka na kuchaguana
 
Huwa tunaficha kwa sababu maalum wewe ungali bado kijana mdogo.....
kwa ma HR huwa tunajua maana ya kufanya ivyo.....Najua ukipata Nafasi au bahati ya kuingia kwenye system utakuja jua Ni kwanini huwa tunafanya ivyo.....

Back
Top Bottom