Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

M nazani hii inafanya kazi hata kwa wanawake ukipiga mpaka akaomba umalize ukimaliza utashangaa mkao uleule anajinyoosha dakika tatu hazipiti unamsikia anakoroma
 
Bao 1 ni sawa na kutembea kilomita kadhaa kwa mguu hivyo suala la uchovu na kulala ni kawaida tu.nimefurahi kusikia baada ya mechi halafu demu alale usingizi mzito ujue amefika juu mlimani.mimi demu wangu huwa nikimaliza kupiga lazima usingizi umchukue.
 
Yakhe khalua ile haina makombo pia ni mpira muscles zinajirudisha zikipewa break.
Haha kweli mkuu nakubaliana na wewe ile Haina Odometer maana ingekuwa na Odometer zingine zingekuwa sawa na vitz used kutoka Japan (Kidding...)
 
Yawezekana...! Japo mimi napiga show ya kistaarabu dk 45, nikimaliza narudi sebuleni naaangalia game za Spain (La liga) usiku saa tano mpaka saba. narudi bedi, nampa mamsapu kimoja cha ushindi, kama Barca kashinda lakini. Asbh saa mbili-tatu nampa tena kingine cha dk30. Then tunaamka, tunapiga supu safi, mambo mengine yanaendelea
Kwahiyo wewe unaona sifa kuidanganya nafsi yako? Acha uongo
 
Ukitaka ulale hadi uibiwe kwa demu, piga zako bia za kutosha, halafu kapige bao halafu ujidai eti unapumzika kutafuta la pili, ukishituka kumekucha.
Wenzio wanaunganisha 3 in 1,wewe mpaka upepelee?pole.
 
hii itakuwa inategemea na umri pia....mbona mm sijawahi kulala labda iwe usiku tena baada ya round zaidi ya 4
 
3 in 1? Mmh, kweli kuna vidume sio mchezo, haijawahi kunitokea. Je, kwa kukadiria hiyo 3 in 1 yaweza kutumia dk ngapi? Manake isije kuwa 3 in 1 for 10 mins.
Usiyazingatie sana ya humu watu wanaongea tu
 
3 in 1? Mmh, kweli kuna vidume sio mchezo, haijawahi kunitokea. Je, kwa kukadiria hiyo 3 in 1 yaweza kutumia dk ngapi? Manake isije kuwa 3 in 1 for 10 mins.
In 45mns mtani....kuna watu wana pumzi ndefu.
 
Yawezekana...! Japo mimi napiga show ya kistaarabu dk 45, nikimaliza narudi sebuleni naaangalia game za Spain (La liga) usiku saa tano mpaka saba. narudi bedi, nampa mamsapu kimoja cha ushindi, kama Barca kashinda lakini. Asbh saa mbili-tatu nampa tena kingine cha dk30. Then tunaamka, tunapiga supu safi, mambo mengine yanaendelea
Safi sanaaaa
 
Sijawai maishani mwangu kupiga gemu nikamtangulia mwanamke kulala, pia mwanamke ajawai kuamka kabla yangu.

Sijawai kumpiga mwanamke chini ya tatu usiku ata kama mchana nilichepuka nikapiga vitatu, alafu nikaenda kubeba zege.
Punguza chumvi, umeweka chumvi mnoo
 
Back
Top Bottom