Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Could be true. Nikiwa 20's sikuwa nalala, tena wakati nipo chuo ilinipa boost ya kusoma sana baada ya kula tunda. But nowadays, aaah nikimaliza ni kama nilikuwa mavens zege...
 
Sijawai maishani mwangu kupiga gemu nikamtangulia mwanamke kulala, pia mwanamke ajawai kuamka kabla yangu.

Sijawai kumpiga mwanamke chini ya tatu usiku ata kama mchana nilichepuka nikapiga vitatu, alafu nikaenda kubeba zege.
 
Could be true. Nikiwa 20's sikuwa nalala, tena wakati nipo chuo ilinipa boost ya kusoma sana baada ya kula tunda. But nowadays, aaah nikimaliza ni kama nilikuwa mavens zege...
Binamu kumbe na wewe una ako kamchezo ka kusinzia kwenye mechi.....??
 
Ukitaka ulale hadi uibiwe kwa demu, piga zako bia za kutosha, halafu kapige bao halafu ujidai eti unapumzika kutafuta la pili, ukishituka kumekucha.
Hii trick wanawake wasiotaka kuchoshwa wanaitumia sana kwa kihakikisha wanaume wanalewa. Ila dawa yake ni kunywa maji mengi tu na supu ya kongoro. utakojoa mkojo kama mara 4 then unakuwa fit ajabu.
 
Mimi huwa nafanya kwa tahadhari kama vile nategua mabomu na kama kulala nalala kwa machale sana....maana wanawake wengine ukilala wanafanya ziara ya kushtukiza....anachukua mpaka mia nne ya nauli....
Kiongozi,Inategemea upo na mwanamke wa aina gani,kama ni wako kihalali (Mke) kwanini ulale kwa tahadhari? Labda kama ni wale wahuni wezi.
 
Shida sio kuku au chipsi. Ishu ni ufundi na jinsi gani unajiandaa kwa ajiri ya hii kitu. Mental preparations inaitajika. Cause ukifanya hii kitu na stress utazingua. Utaonwa fala TU. Hii kitu inaitaji time sio unapojisikia kama jogoo. Mwingine anakwambia kila siku anapiga vinne vitatu. Huyu anadanganya. Cause kama MTU ananguvu za kufanya kazi nzito zinazomzidi then anashauliwa kufanya hii kitu cause atakua ana uwezo wa hii kitu. But not just from nowhere ukasema unapiga vinne au tano. Si balaa hili. Utakua unapiga short path may be.
 
Yawezekana...! Japo mimi napiga show ya kistaarabu dk 45, nikimaliza narudi sebuleni naaangalia game za Spain (La liga) usiku saa tano mpaka saba. narudi bedi, nampa mamsapu kimoja cha ushindi, kama Barca kashinda lakini. Asbh saa mbili-tatu nampa tena kingine cha dk30. Then tunaamka, tunapiga supu safi, mambo mengine yanaendelea
Saa mbili tatu???

Huendi kazini???
 
Back
Top Bottom