REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,712
- 10,033
Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao wakumbukwe kama wafadhiri hawewezi toa msaada kuboreshwa hayo mazingira tutumie mapato ya ndani tukumbuke magereza na polisi ni kwa Kila mtu na wanaoenda uko ni watanzania wenzetu waliochaga Kodi zao kipindi wapo uraiani, na wanaochangiwa Kodi na ndugu zao walio uraiani so na wao wanaitaji huduma bora
Ni aibu Dunia ipo kwenye matumizi ya akili bandia unaenda kituo cha polisi maelezo bado wanajaza daftari kwa mkono, haaa haaa kweli imeshindikana kesi zetu ukawepo mfumo wa kuziandikisha aibu sana
Kituo cha polisi unafika lile deski lao limechoka, vitu vimechoka unawaza hivi hawa wakuu wa hivi vituo wamepigwa marufuku kuomba wadau wasaidie kuboresha mazingira ya kazi yao kuomba mdau apige rangi, awaletee fenisha kituo kiwe na muonekano wa kisasa,
Uko magereza ndio balaa sasa jengo limejenwa kipindi cha uhuru lipo vile vile mafundi humo ndani wanao yani unawaza unasema my country people shida nini.
SIYO MWANAFUNZI NA MGONJWA WANAOITAJI HUDUMA BORA HATA MAHABUSU NA WAFUNGWA WANAOITAJI HUDUMA BORA
MY TAKE
hasa kwenye vituo vya polisi mikoa na wilaya mliopewa dhamana ya kuvisimamia nyie hamuitaji fungu kutoka serikali kuu kufanya ukarabati au mpaka mpewe oda mnatakiwa jiongeza mna wadau wengi sana wa maendeleo siyo muwe mnaomba mafuta tu boresheni na vituo vyenu au mpaka IGP atoe challenge kuwa mkuu wa kituo chochote atakaye shirikiana na jamii kuboreshwa kwa kituo anapandishwa cheo ndio mstuke
Kuhusu magereza hapa serikali kuu tizameni nguvu kazi wanayo nikuwezeshwa vifaa tu kiukweli hali ni mbaya sana