Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
22,861
55,056
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
 
Ubabe!
 
Pamoja na kupewa pesa tarehe 15....nachingwea huku wananichekeshaga wakipata mshahara basi jua mademu wote wao hupati hata mmoja..wakienda bar hawajuagi kununuliana pombe kila mtu anajinunulia kreti lake...cha ajabu wanapanga Lodge moja unakuta chumba kimoja wanajeshi 6 hawalali hiko chumba ni kwa ajili ya kupokezana kwenda kupiga miti..kuna vitu vinachekesha sana karibu nachingwea Zurich pub,y2k,kidimbwi ujionee vituko vyao...mimi pia ni limbukeni wa pesa ila kwao asee hapana ubabe wanaofanyiwa wasimamizi wa guest sio poa
 
Inasikitisha sana alafu wakimaliza wanakuja kutusumbua sisi wenye maduka wanatukopa hawalipi kwa wakati
 
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
Kuwa na adabu na wanajeshi wetu. We unazungumzia wa zamani. Wa kisasa wana elimu zao na wanalipwa vizuri.
Kuna Madaktari, wanasheria, Engineers, Land officers, Architects, nurses, Geologists, Walilmu n.k

Hawa wote wanalipa almost double salaries kwa majukumu yao ya Kitaalum then maslahi ya kijeshi
 
Pamoja na kupewa pesa tarehe 15....nachingwea huku wananichekeshaga wakipata mshahara basi jua mademu wote wao hupati hata mmoja..wakienda bar hawajuagi kununuliana pombe kila mtu anajinunulia kreti lake...cha ajabu wanapanga Lodge moja unakuta chumba kimoja wanajeshi 6 hawalali hiko chumba ni kwa ajili ya kupokezana kwenda kupiga miti..kuna vitu vinachekesha sana karibu nachingwea Zurich pub,y2k,kidimbwi ujionee vituko vyao...mimi pia ni limbukeni wa pesa ila kwao asee hapana ubabe wanaofanyiwa wasimamizi wa guest sio poa
Mkuu paris bado kumenoga ama vp, nataka kuja kuvuta pumzi kdg Lindi
 
Back
Top Bottom