ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,401
- 17,080
Mtu yeyote anaweza kupeleka tamasha lake lamsingi alipie.Ndio najua,
Kwahyo ndo matukio yao yafanyike hapo?
Mtu yeyote anaweza kupeleka tamasha lake lamsingi alipie.Ndio najua,
Kwahyo ndo matukio yao yafanyike hapo?
Ligi namba nne barani Afrika... INSANITY IS...Ule ni uwanja wa serikali.
Kwasababu team zenu zimelala acheni ziendelee kutegemea hiko kiwanja badala ya kujenga vyao.
Kwasasa naanza kuelewa nini maana utakatishaji pesaNa ni nyingii
Na zinaendelea kutoka huko
A National stadiumUnajua neno uwanja wa taifa?
Uko sahihi sana mkuuNi kawaida viwanja kutumika kwa functions zingine tatizo ni kutofanya ukarabati na kupiga hela.
Taylor Swift alifanya show yake Bernabeu uwanja wa Madrid. Allianz Arena uwanja wa Bayern Munich kuna functions nyingi tu zinafanyika pale mbali tofauti na match za mpira. Crypto arena zamani staples center uwanja wa kikapu wa Lakers una host shows zingine kibao including Grammy's, musical concerts etc.
Mkapa ulitengewa 30 Bil ila hadi leo hamna kitu kimefanyika na hela zimepigwa.
😀😀😀😀😀Kwaio B30 ipo yote si ndio
Uko sahihi sana mkuu
Wanaotumia uwanja wanalipia ila hawafanyi matunzo.
Tunarudi pale pale kwamba kama hawawez kuifanyia pitch matunzo baada ya hayo matukio, bora yasifanyike hapo