Kwanini uwanja wa Benjamin Mkapa unatumika kwa matumizi yasio ya Mpira?

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
1,189
1,811
Wakuu nimewaza

Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke?

Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale?

Uwanja unaingiza mapato makubwa wanashindwaje kumaintain mambo ya uwanja?

Je ni lini uwanja utakua maalum kwa kucheza soka badala ya haya matukio mbalimbali?
 
Siyo kweli ila ile bilioni 30 ya ukarabati kumbe haikutosha mimi niliddhani kilikuwa ni kiasi kikubwa bila sababu
 
Maeneo yaliyopangwa yakarabatiwe ni pamoja na.

1. vyumba vya wachezaji,
2. chumba cha waandishi wa
Habari,
3.Eneo la watu mashuhuri (VVIP),
4. kubadilisha viti vyote vya kukalia mashabiki uwanjani hapo,
5. ubao wa kuonesha matokeo,
6. kuweka mfumo mpya wa TEHAMA,
7. kubadilisha eneo la kuchezea na seti mbili za magoli ambazo zitatumika uwanjani hapo.

Maeneo mengine ambayo yatafanyiwa ukarabati ni viti vya benchi la ufundi na wachezaji wa akiba,
8. mfumo wa umeme,
9. mfumo wa sauti,
10. Eneo la kukimbilia wanariadha,
11. chumba cha VAR,
12. lifti mbili mpya,
13. mfumo wa taa,
14. mfumo wa maji taka,
15. mgahawa pamoja na vitu vingine ambavyo vimepita muda wa matumizi kwani vilitakiwa kutumika kwa muda wa miaka saba tu

HADI SASA HAKUNA KILICHOFANYIKA
 
Asante kwa taarifa ni sawa kwa Ufafanuzi ila umesahau kuanisha kiasa cha pesa tokana na bilioni 30 kwa bahati mbaya tulifundishwa kuto kuhoji ila nashangaa hizi akili za kuhoji zinatoka wapi
 
Maeneo yaliyopangwa yakarabatiwe ni pamoja na.

1. vyumba vya wachezaji,
2. chumba cha waandishi wa
Habari,
3.Eneo la watu mashuhuri (VVIP),
4. kubadilisha viti vyote vya kukalia mashabiki uwanjani hapo,
5. ubao wa kuonesha matokeo,
6. kuweka mfumo mpya wa TEHAMA,
7. kubadilisha eneo la kuchezea na seti mbili za magoli ambazo zitatumika uwanjani hapo.

Maeneo mengine ambayo yatafanyiwa ukarabati ni viti vya benchi la ufundi na wachezaji wa akiba,
8. mfumo wa umeme,
9. mfumo wa sauti,
10. Eneo la kukimbilia wanariadha,
11. chumba cha VAR,
12. lifti mbili mpya,
13. mfumo wa taa,
14. mfumo wa maji taka,
15. mgahawa pamoja na vitu vingine ambavyo vimepita muda wa matumizi kwani vilitakiwa kutumika kwa muda wa miaka saba tu

HADI SASA HAKUNA KILICHOFANYIKA
Kwaio B30 ipo yote si ndio
 
FB_IMG_1741793815216.jpg
 
Ni vile hamna uwajibishwaji lkn kuna shida kubwa sana
 
Wakuu nimewaza

Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke?

Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale?

Uwanja unaingiza mapato makubwa wanashindwaje kumaintain mambo ya uwanja?

Je ni lini uwanja utakua maalum kwa kucheza soka badala ya haya matukio mbalimbali?
Ule ni uwanja wa serikali.

Kwasababu team zenu zimelala acheni ziendelee kutegemea hiko kiwanja badala ya kujenga vyao.
 
Kwa sababu hamn venue nyingine za kuhost ayo matamasha za ukubwa uwo..
Ndomana serikali inataka ijenge Kawe arena ili ayo matamasha ya kijamii yawe yanafanyika uko..
Lakini ndo ivyo wananchi wanalalamika Kawe arena ni mradi wa kijinga na kifisad😁
 
Izo arena zinajadiliwa kila baada ya miaka kadhaa
Hawana lolote, ni matamko ya kijinga tuu
 
Ule ni uwanja wa serikali.

Kwasababu team zenu zimelala acheni ziendelee kutegemea hiko kiwanja badala ya kujenga vyao.
Inabidi wajifunze
Uwanja wa nyumbani wa club kubwa za simba na yanga atuna. Ni aibu
 
Back
Top Bottom