Myunani wa II
Senior Member
- Aug 13, 2022
- 186
- 422
naam naamYes wiki ijayo zitatoka chache tu subiri ile jtatu ya wiki nyingine
mwezi huu hawawezi kutoa zaidi ya hapo walipotoa (ukiangalia trend zao huwa hawazidi placement zaidi ya tatu kwa mwezi)
ila mimi nachojiuliza (nirekebishwe kama nimekosea)
mchakato wa psrs ni kuwa waajiri wanapeleka maombi ya nafasi kadhaa ili psrs watafute wahusika kisha wawapeleke taasisi husika
na mshahara wanalipa psrs au taasisi
kama ni swala la bajeti kwa nini wao psrs wakishapata watu wasitoe tu majina ya placement mtu akifika huko alipopangiwa taasisi ndo imuambie bajeti hakuna njoo baada ya muda flani au subiri tutakuita??
kwa nn psrs wanakaa na majibu ya interview bila kutoa kwa muda mrefu sana!!?/