Yep! Utasikia finishing Gebo, blundering, wiring, copro, shutters, grills, Skimming, skating etc.etc. Hahahaa. Hakuna rangi utaacha kuona aisee.Hapo nyumba inaanza kuongea kiingereza sio mawe Tena sijui mchanga mara zege..... Ujenzi ukianza kuongea kiingereza tu ni shidaaaa .....
Ila cha kufurahisha ni kwamba hata hapo itaitwa nyumba japokuwa ujenzi haujaisha.Haijaishia sema IMEKOMEA AMA IMEKWAMIA HAPO....
Kwa hz akilo we suala LA kujenga achama nalo.Nami nilikuwa nasema sitajenga yapo chumba na secure Ila nitanunua nyumba ya angalau 20M Ila nikaja kushtuka Nina 37yrs na watoto ndio Hao na wanakua Ikabidi nianze mdogo mdogoKwa sababu tunafosi kujenga.
Mimi nikishakuwa na bajeti ya gharama ya nyumba mpaka inaisha nikahakikisha kwamba kiasi hicho ninacho kwa muda huo ndio nitaanza kujenga.
Kujenga tuna ku overrate sana wakati ni process za maisha kama process zingine.
Kwa maisha yangu mimi pakukaa sio tatizo,tatizo vyanzo vys mapato ndio shida,ninachofanya ni kupambana nipate biashara safi nitoboe na hapo nitajenga within a few weeks mjengo unasimama.
Hili ni PAGALE Mkuu...😂😂😂 .......Ila cha kufurahisha ni kwamba hata hapo itaitwa nyumba japokuwa ujenzi haujaisha.
TajiriiKwa sababu tunafosi kujenga.
Mimi nikishakuwa na bajeti ya gharama ya nyumba mpaka inaisha nikahakikisha kwamba kiasi hicho ninacho kwa muda huo ndio nitaanza kujenga.
Kujenga tuna ku overrate sana wakati ni process za maisha kama process zingine.
Kwa maisha yangu mimi pakukaa sio tatizo,tatizo vyanzo vys mapato ndio shida,ninachofanya ni kupambana nipate biashara safi nitoboe na hapo nitajenga within a few weeks mjengo unasimama.
Sio ya kwake hiyo😃Kozi tatu juu inaleta muonekano mzuri kuliko mbili....nimeipenda
Kwani pagale ni kitu gani? definition ya Pagale ni nyumba ambayo haijakamilikaHili ni PAGALE Mkuu...😂😂😂 .......
Yeah. Hiyo nayo ni mbinu mojawapo. Baadaye ukimaliza chumba kimoja unahamia halafu unaendelea kujenga vyumba vingine lakini wakati huo wewe utakuwa 100% uko kwenye nyumba yako. Halafu sasa inakuwa kupeana shifti na fundi - akijenga huku akimaliza unahamia na mchezo unaendelea hadi nyumba inaisha ww ukiwa mumo humo.Kwa hz akilo we suala LA kujenga achama nalo.Nami nilikuwa nasema sitajenga yapo chumba na secure Ila nitanunua nyumba ya angalau 20M Ila nikaja kushtuka Nina 37yrs na watoto ndio Hao na wanakua Ikabidi nianze mdogo mdogo
HhhhTajirii
Mkuu wewe sio reference yetu katika haya maisha.Kwa hz akilo we suala LA kujenga achama nalo.Nami nilikuwa nasema sitajenga yapo chumba na secure Ila nitanunua nyumba ya angalau 20M Ila nikaja kushtuka Nina 37yrs na watoto ndio Hao na wanakua Ikabidi nianze mdogo mdogo
Mkuu mtu akifa hana nyumba lakini alikuwa anapambana kupata michongo endelevu sio shida.Mawazo kama hayo yalifanya wengi wakafa na nyumba zao kichwani bila ya utekelezaji wowote kufanya.
Na binadamu mwingine kukubadili msimamo wako huo hasi ni vigumu sana, sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Ha ha haNi kama ujauzito tu, kuna miezi unapeta na kuna miezi unakesha
Hayo madirisha nimecheka sana😀Nguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma nini shida?
View attachment 3086249
Hapo hujaanza ujenzi kwakuwa chini ya 5M unaweza kufika hapoNguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma nini shida?
View attachment 3086249
Kudundulizia mfukoni ni ngumu, inatakiwa kudundulizia hardware.....Kudunduliza hela mpaka itosheleze kuezeka huwa haikai
Ndivyo ilivyo, gharama za ujenzi zinabadilika kulingana na location kilipo kiwanja, muinuko/msawazo wa kiwanja, sehemu unayojenga either mjini au kijijini, accessibility ya eneo lako kwa ajili ya kupitisha materials, nature ya wakazi wa eneo hilo/majirani(wengine ni wachawi wa maendeleo), upatikanaji wa usafiri k.v boda, toroli, kenta n.kNdiyo ni kweli kabisa hususan pale inapotokea badiliko kwenye bei za vifaa, gharama ya usafirishaji, uaminifu na umakini wa mafundi.
Haiwezekani ukawepo site muda wote kama nyapara/msimamizi saa zote kwani wewe binafsi pia unayo majukumu mengine muhimu.
Halafu usisahau pia kwamba, kwa bahati mbaya baadhi ya vifaa vinaweza kuharibika e.g. kuvunjika kwa ceiling boards(Gypsum boards), sink za vyooni, Vioo au kitasa kuwa ni kibovu n.k. Tena inawezekana ukalazimika kubomoa sehemu fulani ambayo imejengwa vibaya au unataka kufanya maboresho katika ramani yako. Mambo ni mengi yanayoweza kuyumbisha bajeti ya awali kiasi kwamba ile 25% uliyoweka kama tahadhari ikaisha na bado isitosheleze.
Ni risky sana utaratibu huo (na nimeshuhudia)kwani ikitokea kwamba mmiliki wa hardware ulikolimbikiza fedha zako akifariki au hardware ikapata ajali e.g. kuungua moto, utapata wakati mgumu sana ku-claim fedha zako ulizowekeza kwake. Lakini pia na wewe unaweza kupata changamoto ya kimaisha. Ni bora ukawekeza benki ambako utapata na kafaida fulani kuliko kwa mtu baki i.e. hardware.Kudundulizia mfukoni ni ngumu, inatakiwa kudundulizia hardware.....
Ukipata kiasi unapeleka hardware kama wana lipa namba ndo kabisa haupati uvivu, ukipata tu unatuma, ukipata kiasi unatuma unashangaa mara ya kupaua imetimia.