kweli kabisa.
nilishawahi kuweka uzi humu niaahidi zawadi ya lakin 1 kwa atakaye nipa crip ya LOWASA akikemea ufisadi na wizi wa mali ya UMMA lakini hamna aliyejitokeza hata vile vibaraka wake wenye njaa na pesa zako wote walikunja mikia yao nyuma. na ule uziulifutwa
Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Viwanda kibao arusha vimekufa fibreboard, philips, sunflag, bora, emco, rvr, tpri azimio la arusha list inaendelea. Why General tyre only izungumziwe.
Mleta mada kaona Arusha yote in mbunge mmoja tu nae anawakilisha jimbo la Monduli. Ila naona nia yake ni kutaja L>O>W>A>S>A tu!Mbunge anayehusika wa Arusha mjini keshazungumzia General Tyre. Lowassa safari hii atawafanya mfe mapema.
Huyu alishawah kuwa wazirbmkuu...angetakiwa ajue nan kaua general tyre.
Umesahau kuwa Sumaye naye wakati anapewa uwaziri mkuu alikua mwenyeji wa Mkoa wa Arusha ?
Amekaa madarakani miaka 10 na kiwanda kimeuzwa kipindi chake,wewe unataka kumuuliza mbunge.
kwa kuwa bado hajatangaza nia rasmi ,tunategemea atakapotamka rasmi atuambie mipango yake ataifanyia nini tanzania ,sisi yeye tu wote wenye kuwatoka udenda kwenda magogoni.si busara kwa watanzania kumchagua mtu ambaye mpaka aipate ikulu ndio atuambie anatufanyia nini au alifanya nini hapo awali.ataishi kujifanyia yeye na awapendao.Sasa hivi aongee kama nani!?? Subiri aingie ikulu aongee
Njaa zako za lakini moja kale na ahawara yako. Wewe mleta Uzi haufai hata kidogo kwani unahamasisha rushwa. Kawasaidi ndugu zako na hiyo lakini moja kule ......... L.....do.