Kwanini hela zinazoenda HESLB kila mwaka zisiingizwe kwenye uwekezaji ili kuongeza ajira?

Deinstein 01

JF-Expert Member
May 12, 2024
1,620
3,134
Habari wakuu!

Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu.

Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha inayopelekwa HESLB ingeingia kwenye uwekezaji mfano serikali ingetumia hiyo fedha kujenga viwanda ili kuongeza ajira.

Au itumike hata kujenga mashule na mahospitali kuliko kuzimwaga kwa wanachuo wasio na uhakika wa kuzirudisha.

Yangu ni hayo tu. Karibuni kwa maoni.
 
Habar wakuu!

Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu.

Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha inayopelekwa HESLB ingeingia kwenye uwekezaji mfano serikali ingetumia hiyo fedha kujenga viwanda ili kuongeza ajira. Au itumike hata kujenga mashule na mahospitali kuliko kuzimwaga kwa wanachuo wasio na uhakika wa kuzirudisha.

Yangu ni hayo tu. Karibuni kwa maoni.
Nchi ya wezi hii. Zitapigwa
 
Acha kufundisha waheshimiwa kazi
 
Back
Top Bottom