Kwaheri 2016 karibu 2017

Sifa na utukufu zimuendee Mwenyezi Mungu alietuwezesha Mimi pamoja na wewe kuuwona Mwaka mpya wa 2017.
Nichukue nafasi hii kuwaombea heri na baraka members wote wa jamii forum...HAPPY NEW YEAR
 
Mbona Mwaka Huu Happy new year imepita kimya kimya ?? Hata Honi za Meli sijasikia kabisa au ndiyo kubana matumizi ??
 
Mimi na mchepuko wangu tunapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya, haikuwa kazi rahisi kumaliza mwaka bila kukamatwa
Naomba 2017 uwe mwaka wa mafanikio tena
 
Huku bado masaa mawili ila Mwenyezi Mungu atatujalia inshallah tutauona.
 
380c623248fb1aad2e2e765e4e813fcc.jpg
 
Huku bado lisaa tu tutasherekea ila makanisani watu walishamiminika mapema.
 
Back
Top Bottom